Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Wewe huvioni ?!!Kwa kigezo gani?
Nairobi ishaamuliwaNairobi Daresalaam Adiss Ababa Kigali Kampala Bujumbura Juba Mogadishu nk. Naipendelea East Africa ndiko kwenye Garden of Eden.
Soon dunia itaenda kuwa the world against US.My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGuymp8Aoz8/?igsh=MWZ5N2NvbDZsdnA0eQ==
My Take
Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tuu 😆😆
....Trump anataka kujitoa kutoka katika fikra za akina Robert Amsterdam na maswahiba zake huku Afrika.....Hujasikia No Reforms no Election
Wajifunze nini Sasa?Hawa chawa WA Tanzania wajifunze kwa chawa Mkuu elon musk
.....itifaki na diplomasia anaijua.....kupitia mawazo mapya ya Rais Trump, vitabu na miongozo mipya ya DIPLOMASIA NA ITIFAKI vitaandikwa na kufundishwa...Trump anaipambania nchi yake ila anatakiwa kukumbushwa kwenye uongozi wa kitaifa kuna masuala ya itifaki na diplomasia
Khaa.. hali inazidikuwa tete..My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGuymp8Aoz8/?igsh=MWZ5N2NvbDZsdnA0eQ==
My Take
Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tuu 😆😆
Mji hauna hata highway roadTena Arusha 🇹🇿
Hiyo ndo tabia za chawa woteMy Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGuymp8Aoz8/?igsh=MWZ5N2NvbDZsdnA0eQ==
My Take
Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tuu 😆😆
Mama anaendelea na ujenzi though sijakuelewa highway road ndio nini?Mji hauna hata highway road
Siku zote kesho huwa haijulikani....Soon dunia itaenda kuwa the world against US.
Europe wataanza shirikiana na Mchina dhidi ya US miaka ya mbele.
....sera ya kutokuwa na rafiki na adui wa kudumu ndio sera ya KIUCHAMUNGU zaidi....Trump yy anacho angalia US kwanza na maslahi ya taifa, maswala ya diplomasia huku ya kiipa hasara nchi yake hataki kuyasikia. Ila NATO watajifunza na sasa ndio wanaelewa kwa nini US haina rafiki wala adui wa kudumu.
....baada ya dhiki ni faraja ...hebu tuyajenge mataifa yetu kizalendo zaidi.....Khaa.. hali inazidikuwa tete..
Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia.....itifaki na diplomasia anaijua.....kupitia mawazo mapya ya Rais Trump, vitabu na miongozo mipya ya DIPLOMASIA NA ITIFAKI vitaandikwa na kufundishwa...
#Maisha si kukariri tu !!
Nchi gani Sasa?Makao makuu ya UN yahamishiwe Afrika.
Kilichotokea pale huwa kinatokea behind the camera na kama umewasikiliza ni kwamba Zelensky yale mambo hakupaswa kuyajadili pale ilibidi wakayajadili nyuma ya camera pale ilikuwa wameita waandishi wa habari tu kuwambia kuwa wanaenda kusign mktaba.Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia
Na aliyekwambia Makonda atakuwa RC wa Arusha nani? PUMBAVU!!Hapana, Viongozi wa Dunia hawataki Drama za Makonda.
Mwanza sawa.
Una hoja mkuu.Wewe huvioni ?!!
Mwenyezi Mungu ameipatia dunia raslimali ili itufaidishe bila ya ubaguzi uliopitiliza......Trump anawakumbusha wanadamu kuwa thamani yao ni kubwa wapambane ili waithibitishe thamani yao ambayo HAIHODHIWI na binadamu wenzao.....
Trump anawaamsha waliolala....
#Hakika Trump ni mpango wa Mungu !