Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
.... inawezekana ikaandikwa hivyo....kwa majibizano yale kuwa "case study"....Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia
Ahsante mkuu wangu !Una hoja mkuu.
Hatuitaki UN pia, wabaki nayo wenyewe ngoz nyeupeTena Arusha 🇹🇿
Anakukosha sio 😂😂Ahsante mkuu wangu !
Allah ambariki sana mh.Rais Trump !
Yale nisiyoyapenda kwake hayanifanyi NISIMHESHIMU kwa nafasi yake...Anakukosha sio 😂😂
Elimu ndogo Trump anaongozwa na chuki na mawazo mengi ya kihuni tu.Trump anaipambania nchi yake ila anatakiwa kukumbushwa kwenye uongozi wa kitaifa kuna masuala ya itifaki na diplomasia
Mkuu wangu kwa hiyo UMMA wa wamarekani wamechagua CHUKI ,ELIMU NDOGO NA MHUNI kuwa "chief-comforter" wao ?!!Elimu ndogo Trump anaongozwa na chuki na mawazo mengi ya kihuni tu.
Walitaka wamlazimishe Zelensky asaini mkataba mbaya kwa Ukraine kwa maslahi ya makampuni ya kimarekani na akawashtukia wakaanza kumshambulia kwa maneno ya hasira na dharau zile zile za kizungu.
Hao wengi waliomchagua Trump ni hao hao wamarekani wenye uelewa mdogo wa kinachoendelea nje na mbali ya Marekani. Tembelea Youtube kuna video nyingi za wale wamarekani waliomchagua ambao hivi sasa wanakutana na majuto mengi.Mkuu wangu kwa hiyo UMMA wa wamarekani wamechagua CHUKI ,ELIMU NDOGO NA MHUNI kuwa "chief-comforter" wao ?!!
Binafsi kila mtu anatakiwa asimamie chake vyema na akienda kuomba(kidiplomasia) ni lazima meza ya fikra imdadavue "kiulazoulazo" ni kwanini "WAMPATIE-WAMPE AYATAKAYO...".
Diplomasia ina mengi....inaangalia na maslahi ya wengine pia katikati ya shida za MHITAJI*....
Angekuwa hajui UCHUMI kama usemavyo asingekuwa TAJIRI alivyo....mkuu hebu kuwa serious kidogo.....Hao wengi waliomchagua Trump ni hao hao wamarekani wenye uelewa mdogo wa kinachoendelea nje na mbali ya Marekani. Tembelea Youtube kuna video nyingi za wale wamarekani waliomchagua ambao hivi sasa wanakutana na majuto mengi.
Ameiwekea China kodi bila ya kujua kwamba kodi hizo zinawaumiza wazalishaji wa USA kwanza kabla hazijazigusa biashara za wachina.
Ukosefu wa uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi, na yeye akiwa mkuu wa nchi ni hatari kuuweka wazi ukosefu wa elimu kiasi hicho.
Ana ile mitazamo ya miaka ile ya 80 mwanzoni enzi za RIP Reagon, kwa sasa imeshapitwa na wakati. Hii ni dunia yenye kuhitaji sana maelewano ili biashara zako ziweze kuuzika kimataifa.
Mwenye uchumi mkubwa duniani ndio mwanaume wa mbegu.New York ilikuwa inafanya biashara sana wakati wa vikao vya UNGA na mahoteli yalikuwa yakiingiza fedha nyingi sasa watu wa New York watakuwa wamepoteza biashara aisee hivi huyu Trump bado anafanya biashara za Hoteli?
Yaje MasakiMakao makuu ya UN yahamishiwe Afrika.
Exquisite !Mwenye uchumi mkubwa duniani ndio mwanaume wa mbegu.
Heshima,sifa,mitazamo ya uchumi,biashara,tekinologia,afya,kilimo,kukabili maafa,ushauri na ushawishi,elimu,haki za binadamu.Kinara mwenye kauli,sifa,nguvu,michango alikuwa Marekani.
Na kuwalisha watu duniani kwamiaka zaidi ya 80 sio kazi ndogo.
Hata ukiona Ulaya wanatanua aliyewapa pesa ni Marekani.
China anajipambanua kama taifa kubwa lakini anachangia dollar milioni 39 tu kwenye WHO,mwenye watu zaidi ya billion 1 na nusu.
Lakini Marekani mwenye watu milioni mia mbili na nusu anachangia dollar milioni 500.
Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
Biashara zote zinakwenda zikifilisika, Mpaka ile aliyoirithi kutoka kwa Baba yake, jiulize kwanini.Angekuwa hajui UCHUMI kama usemavyo asingekuwa TAJIRI alivyo....mkuu hebu kuwa serious kidogo.....
China Ina chama kimoja tu kinachowaumiza maslahi ya wachina....vyovyote iwavyo CCCP inaungwa mkono na raia tofauti ikiwemo WAJINGA* kama hao usemao* na walioamua kumchagua mh.rais Trump.......
Ni uhuru wako wa maoni, lakini kuna madhara makubwa kwenye maamuzi yake. Marekani ilizoea kufaidika kupitia ushiriki wake kwenye masuala mengi ya kidiplomasia, kwa kuamua kujitenga lazima Marekani na hao waliozoea kupokea misaada watatetereka japo ni kwa muda.Mimi namuunga mkono Trump kwa maamuzi yake!
Mkuu unajua kuna watu wakiona vinaelea hawajui vinaundwa,reality check imewadia na hasa mhadhilika zaidi ni Africa.Exquisite !
Mimi ningependekeza yawe Afrika ya Mashariki..Nchi gani Sasa?