Trump akamatwe haraka aanzishiwe doze ya uchizi,ataleta madhara zaidiHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Hahaha fala kweli wewe, hata aibu huoni utakuwa jizi wewe au muhanga wa vyeti feki.Hebu niambia kitu hata kimoja cha kimfumo ambacho Magufuli alifanikiwa kukifanya na sasa hivi mashabiki wake wanaweza kujivunia. Sana sana alifundisha ''kuteka'' mihimili mingine ya uongozi, vyama vya jamii, viongozi wa dini, kuua na kuiba kura.
Alikuwa ni mgombea sasa hivi ni raisi, japo secret service ndio hao hao waliokuwa wanamlinda hata kipindi kile, ila sasa hivi ulinzi umeongezeka marudufu.Kuwa serious basi, ni trump huyu alikuwa almost alambe mchanga baada ya kupunyuliwa skio
Downsizing,Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
💯Trump sasa anavuka mstari mwekundu.
Sasa naona ameamua kujikatia tiketi ya kifo. Muda utaongea!
Let's wait!
Jamaa analipiza kisasi hawakumsaudia kipindi anaandamana hawakumpa ushirikiano hata ambao pengine aliwateua katika kitengo/vitengo vikubwaHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Kuna watu wakiskia Magufuli wanashikwa na tumbo la kuhara, wanatumia nguvu nyingi sana kuaminisha wengine kwamba hakuna cha kujivunia kuhusu yeye... uzuri kazi aliyokuwa akifanya kula mtu aliona.Hahahahah huoni hata aibu, ile system ya EGa aliitengeneza Jakaya nayo?
Imekuwa kama a third world country.Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Hii si kweli, lile tangazo halijawagusa waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Halafu unaiongea CIA utadhani mnawaongelea Polisi wenuHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Ww leta habari lakini mambo ya USA imekuwa nchi ya kijinga acha maana sidhani kama unaijua USA kuliko Trump na timu yake.Unataka habari za UVCCM au BAVICHA?
Toka hapa, sijakutumia kadi ya mwaliko uje kwenye uzi wowote. Kuna nyuzi nyingi za kukata mauno, mpira wa Simba na Yanga, M23 n.k ambazo unaweza kujikita huko.Ww leta habari lakini mambo ya USA imekuwa nchi ya kijinga acha maana sidhani kama unaijua USA kuliko Trump na timu yake.
Resignation offer imeandikwa wazi kabisa kuhusu watakaoguswa na hawatakaoguswa. Hizo taarifa nyingine ni mazungumzo baada ya habari.
Huwa sikubaliani na porojo za kuwa na plan za miaka 50 au 100 mbele, kwanza mambo yanavyobadilika hivi kwa kasi katika teknolojia unawezaje kuwa na mipango ya miaka 20, 50, 100 n.k?!Nadhani, Trump ni kipimo halisi cha iwapo hizi nyimbo kuwa wenzetu wanazo plan za miaka 100 mbele na kwamba system ndo inaongoza si mtu ni za kweli.