Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

Na yale maswali mwishoni mwa uzi yamelenga ulichoandika. Marekani naona sasa kalemewa

Kwa kuongezea Marekani anataka kulegeza uhusiano kati ya China na Urusi na BRICS hasa anaposema angependa Urusi irudi kwenye G7

Marekani ameshaona haiwezi kushindana na Urusi na China. Anataka kufanya separation anafikiri akimrubuni Urusi kwenye G7 ataweza kudeal na China peke yake

Ila kwa sasa ukaribu uliopo kati ya China na Urusi na jinsi wanavyojua ujanja wa Marekani hawawezi kuingia huo mtego
 
Marekani inaelemewaje wakati huu ambapo imesitisha misaada ya matrilioni kwa mfano hela zilizokuwa zinakuja Africa? Common sense haikuambii it is saving more money?
 
Kwa sababu hujawahi kuliona bunge kibogoyo la China likifanya mijadala ya bajeti zake hadharani unafikiri kila nchi ni sawa na China.
 
Marekani inaelemewaje wakati huu ambapo imesitisha misaada ya matrilioni kwa mfano hela zilizokuwa zinakuja Africa? Common sense haikuambii it is saving more money?
Wameona kuna matumizi mabaya ya pesa ndiyo maana DOGE inataka efficiency kwenye matumizi ya pesa za Marekani. Kibunda kinatumika hovyo

Marekani ina deni la USD 36 billion, deni ni kubwa kuliko hata GDP ya nchi. Na kila baada ya siku 100 kwa wastani Marekani inaongeza deni la USD 1 trillion!

Kufikia hatua hii lazima nchi ilemewe na ndio maana wameanza kwa kupunguza unnecessary expenditures na kufanya review ya misaada yote wanayotoa.
 
Achana propaganda nyepesi, Manufacturing sector ya Marekani ni kubwa kuliko Finance sector.
 
WEWE KADA WA CHINA BHANA
 
Hao ndio wakubwa... Utashangaa Urusi anaachiwa mrembo wake Ukraine, China nae aachiwe chuchu konzi yake Taiwan na Marekani akachukue ule mlango bahari wa Panama bababe..
Ikitokea wakakubaliana hamna panya atakaeinua mdomo
Imagine duniani kusingekuwa na mataifa kama China na Urusi ya kuichallenge Marekani na NATO
 
HUYU KAKAA HUKO TANDAIMBA ANARISHWA PROPAGANDA ZA WACHINA NA WARUSI WALE HAWAJUI VIZURI KWA PROPAGANDA MAREKANI INA PRODUCTS NYINGI SANA ANAZIUZA TENA WEWE UNALIPIA BILA KUJUA INCLUDING GOOGLE
Ni industrial products zipi ambazo Marekani anauza kuizidi China?
 
Deni la China ni 84% ya GDP yake, mwaka 2029 inakadiriwa deni lake litazidi GDP.
 
Huyo trump mfumo unamuangalia tu anavyojibebisha ufunge kambi za nje kama guam, okinawa,guantanamo na nyingine nyingi zenye maslahi kwa usa atalamba sakafu muda mfupi kabla hajasaini hiyo karatasi, kuna muda anaachwa tu aongee kufurahisha hadhara
 
Umesema sahihi sana mkuu. Congla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…