Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Mkeo anamtii mwenye pesa. Leo unamshukuru Trump kesho utamlaani lijamaa flani hivi lenye fedha za kuchezea kwa kutokujali njia asili ya kupita na kupita anapojisikia sababu ya pesa zake zinazopendwa sana na mkeo.
Sijui bhana lkn most women wapo hivyo mkuu.
 
Milioni 2?. Laki 3 tatu Mkuu. Nilikonda nikawa Modo. Lakini Mungu alijua kunifurahisha. Now napambana kumaintain uzito usiwe offside🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu matumaini ndiyo yanamweka mjini. Na anaonekana kuenjoy maisha ya wishful thinking. Eti anawish mkewe atabadilika(amejifunza)🤣
 
Jiandae kumsindikiza kliniki. Hata ukiwa baba mlezi sio mbaya
 
Alikuwa analishwa ndio maana akawa anafulishwa hadi vyupi na kunyimwa mbunye😂,,,Wanawake ni viumbe hatari sana kipindi ukiwa unatubu wanaweza kukufanya kama dekio tu. Usiombe uwe unasota na mke ana mishe zake.
Daa Mungu asitufanye tuwe hivyo
Umasikini ni Laana jamani
 
Sikupingi Mkuu, apo ni mwendo wa kulazwa sebuleni au kwa watoto kwa kosa lolote imradi kisirani, unaweza kukohoa tu akasema unamharibia bed rest yake kesho ana seminar Bagamoyo ya wiki 1... ni muhaho wa hatari! Afadhali my wangu anapokea laki 6 yake. Mwanzo wa mwaka alipata offer mkoani ya maslahi sana nikaona ohooo naenda kuchapiwa nilipiga biti akisepa tu naongeza wife akaamua kusizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…