Trump approves Sh43.5bn arms sale to Kenyan military

Budget, Budget! Labda nikuulize swali dogo - hivi VietNam ilipopigana vita na Amerika na kuwashinda Budget ya VietNam ilikuwa ya kiwango gani? Think again - sio mnajisemea tu.
 
usianze story za mimi najua, leta proof hapa, ukiwa unataka pia mimi ntakuletea proof ya ndege za kenya
 
Sasa unabisha nini wakati idadi kubwa ya wahamiaji hao ndio watakaorudishwa. Kiswahili kimekuwa kigumu kuelewa?! 7 countries from Africa watazuiwa kuingia USA mojawapo ni Kenya wapi pagumu kuelewa.

Acha kueneza ushuzi na uongo wako humu, umepata simu juzi unafikiri weye wa kwanza kuingia GOOGLE?...Kenya haipo kwenye list labda Kenya ya kwako na mumeo.

Kalb wahed!
 
Budget, Budget! Labda nikuulize swali dogo - hivi VietNam ilipopigana vita na Amerika na kuwashinda Budget ya VietNam ilikuwa ya kiwango gani? Think again - sio mnajisemea tu.
hivi unajua vietnam ilipoteza watu millioni moja kwa hivo vita pamoja na wanajeshi zaidi ya 300,000.... unafikiri wangekua na vifaa wangepoteza idadi kubwa hivyo?
 
hivi unajua vietnam ilipoteza watu millioni moja kwa hivo vita pamoja na wanajeshi zaidi ya 300,000.... unafikiri wangekua na vifaa wangepoteza idadi kubwa hivyo?
In short querilla war si mchezo U.S had over 58k fatal fatalities in 4 years
 
Budget, Budget! Labda nikuulize swali dogo - hivi VietNam ilipopigana vita na Amerika na kuwashinda Budget ya VietNam ilikuwa ya kiwango gani? Think again - sio mnajisemea tu.
Vietnam was a proxy war Between Russia and USA north Vietnam was a comunist Regime South Vietnam was a capitalist Regime Russia Supported the North USA supported the south.....USA dropped 4bn bombs in vietnam more Half of which have not exploded to this Day.....

Vietnam was also a guerilla warfare .......USA practised scorched earth policy and burned over 159mn acres of land in vietnam ......

It won the war because they never came to fight the attacked and retreated kind of like alshabaab ....

Unless Tanzania is going to play guerilla ....U dont know what ur talking!!
 
Sema zinatumika specifically kufanya shughuli gani? Zilianza kuhundwa kwenye miaka ya 90, tupe taarifa za mlejesho wa ufanyaji kazi wake kwenye field.
Model ilianza 1990, but military version production imeanza 2008
 
Laos has the distinction of being the world's most heavily bombed nation. During the period of the Vietnam War , over half a million American bombing missions dropped more than 2 million tons [33] of ordnance on Laos, most of it anti-personnel cluster bombs .[34] Each cluster bomb shell contained hundreds of individual bomblets, "bombies", about the size of a tennis ball. An estimated 30% of these munitions did not detonate. Ten of the 18 Laotian provinces have been described as "severely contaminated" with artillery and mortar shells, mines, rockets, grenades, and other devices from various countries of origin. These munitions pose a continuing obstacle to agriculture and a special threat to children, who are attracted by the toylike devices. [citation needed ]
Some 288 million cluster munitions and about 75 million unexploded bombs were left across Laos after the war ended. From 1996–2009, more than 1 million items of UXO were destroyed, freeing up 23,000 hectares of land. Between 1999 and 2008, there were 2,184 casualties (including 834 deaths) from UXO incidents.
 
Kama mnadhani Vietnam ina enjoy hiyo ushindi think again ...
 
Sasa unabisha nini wakati idadi kubwa ya wahamiaji hao ndio watakaorudishwa. Kiswahili kimekuwa kigumu kuelewa?! 7 countries from Africa watazuiwa kuingia USA mojawapo ni Kenya wapi pagumu kuelewa.
Hiyo news nani kakupa? Kwa taarifa yako Afrika ni Libya, Egypt only!!
 
Hiyo news nani kakupa? Kwa taarifa yako Afrika ni Libya, Egypt only!!

Na Sudan plus Somalia mkuu..nchi za kiislamu!..kama kuna nchi itaongezwa kwenye listi chafu ni nchi yao hiyo Tanzania iliyo na waislamu wengi wenye siasa kali,waliojificha uvunguni.
Kenya ni taifa karibu na Israeli na lina wakristu wengi zaidi asilimia 90%, mtagojea sana!
 
Hawk Mk 52

f-5

And many more
 
Nakuuliza nini unajibu nini?? Maneno tu, kama hata hujui Wavietnam walikuwa wanatumia tacticts gani za kivita kuna haja gani ya kuendeleza kuelimishana - kwa taarifa yako Watanzania wengi wanajua historia sahihi ya vita baina ya VietNam na Ufaransa baadae na Marekani, wanajua vile vile B-52 zilivyo kuwa zinafanya carpet bombing ya nchi ya Laos bila ya kutangaza vita na Taifa hilo dogo, hizi excuse zenu za kusema sijui nusu ya mabom hayakulipuka sijui WavietNam walikuwa wanapigana a proxy war kwa ajili ya Urusi - hizo zote ni lame excuses, ukweli wa mambo Wamerikani walishindwa na WavietNam -period. Sasa na nyinyi msipo ondoka Somalia na kuacha kuingilia mambo yao ya ndani mtakuja kukumbwa na zahama zilizo wakumba Wamerika huko VietNam.
 
Acha huo ujinga... Wanazitumia hzo kama by da way... Siyo main combatant fighter...
Na nani alikuambia Kenya tutatumia kama main Combat fighters?
Hujasikia hizo ni za light attack?
We have over 15 types of air-force machinery!!
Including the new Huey
 
Na nani alikuambia Kenya tutatumia kama main Combat fighters?
Hujasikia hizo ni za light attack?
We have over 15 types of air-force machinery!!
Including the new Huey
Bragging as usual... Wakenya wanakufa kwa njaa.. Nyie ela zenu zote mnanunulia toys..
 
hivi unajua vietnam ilipoteza watu millioni moja kwa hivo vita pamoja na wanajeshi zaidi ya 300,000.... unafikiri wangekua na vifaa wangepoteza idadi kubwa hivyo?

Mkuu jibu swali siyo una jump from tree 2 tree! Labda kwa kukusaidia tena narudia swali nimeuliza hivi: Kama unafikiri masuala ya kuwa na bajeti kubwa yana count kwenye ushindi wa vita, mbona WavietNam waliwashinda Wamerikani - au utakuja na ngonjera zako za kudai kwamba waliokuwa wanapigana huko VietNam ni Warusi na si WavietNam wenyewe!!
 
Bragging as usual... Wakenya wanakufa kwa njaa.. Nyie ela zenu zote mnanunulia toys..
Wenyewe hamna hela za kununua hizo toys! Maskini wa mwisho!!

Kenya is 3 quarter of Kenya is Arid and semi arid, but we survive, the only thing Tanzanians are worried is stomachs!!
we innovate, we lead, we improve as you follow!!!
Suguta Valley

Now Turkana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…