Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

Nchi za kiafrika sio maskini na sio kweli kwamba zinashindwa ku-run bajeti zao, shida kubwa Iko ktk mipango na matumizi, mipango ni mibovu na ufujaji wa hela uko Kwa kiwango cha juu...pesa nyingi zinaelekezwa kwenye matumizi na kipumbavu na anasa za watawala...ma vieite yanazunguka nchi nzima, huku mabasi ya kisiasa ya CCM yanapita, hujakaa vizuri Boeng linapaa kuelekea Korea limejaza machawa waliolipwa posho na huduma za hadhi ya juu ..NGOJA TRUMP ATOE ELIMU KWA VITENDO MAANA KUSKIA KWA KENGE NI MPK DAMU ITOKE MASKIONI
 
Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Huu sasa ndio ukombozi wa kweli kiongozi.Misaada ikisitishwa mbona kila mtu atafanya maarifa namna gani maisha yatakuwa.Kuna kitu wanaita blessing in disguise.Mambo ya spoon feeding yameleta ujinga sana katika bara letu(Hadi matundu ya choo ni USAID hovyo kabisa)
 
Ni hatua nzuri,lazima tujue kuwaheshimu watu wanaotulisha na kutujali tukiwa wazima na wagonjwa.

Sasa kilichopo,tumwambie huyu supapawa wa Kichina afidie bajeti badala ya kutujazia bodaboda na bidhaa feki au tumlilie Mrusi nae ajitutumue kama kweli anatupenda.
Kama hayo hayawezekani ndio muda wa kuwakababa koo hawa Maccm ili waanze kuwajibika kwa kila senti ya kodi zetu badala ya Kuzungusha keki ya mama wilayani kwa gharama za serikali.
Huu ndio muda wa kukabana mashati sasa
 
... Trump hana lolote, hapo anataka tu kujua asilimia yake kwa 'wakandarasi'!
 
Kama kuna jambo nimewahi kusikitika ni hili......

Sometimes, tunashangilia bila kujua kinachotokea mbeleni...

Serikali iwahi mapema sana' kuhakikisha items zote muhimu zinapatikana na zinaendelea kwa hawa ndugu zetu'

Na nilitegemea kuwepo na kikao cha dharura/hata bunge lijadili dharura hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…