Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

Africa population is approximated to over 1.5 billion people

People living with HIV/AIDS are aproximated to be 30 million people

Let us die men let us sacrifice for others.
Tuanze kuokota maiti yaan hapo kuna watu wametangaziwa msiba
 
Mbona Hela zinaliwa tu mkuu , ulimsikiliza CAG, na hizo V8 punguzeni kununua jmn
Ni kweli, kuna wizi serikalini ukipungua utapunguza kulia lia kwa % kadhaa.

Ila Hizi V8 zikifutwa, zikachukuliwa sec hand cars au gari za kiwango cha chini balaa litakuwa mara 2 sababu ya matengenezo.
 
Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Pale shemeji atakapokuletea gonjwa haya maneno yako utayakumbuka unless huna kitobo au Shemu ana erectile dysfunctional
 
Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

Hatua hiyo ni sehemu ya kusimamisha kwa muda msaada wa Marekani duniani kote ili kupitia upya programu hizo. Taarifa hiyo imetolewa kwa wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na USAID, ikiwa ni pamoja na kampuni ya Chemonics, ambayo inashirikiana na USAID kusambaza dawa hizo muhimu duniani kote.
Ngapi huko??
 
Ni hatari sana,madaktari na wauguzi wataogopa kufanya Kazi kwa watu wenye maambukizi.,,Coz mara nyingi huwa wanajichoma pindi wafanyapo procedures mbalimbali na PEP'S zimekuwa zikiwapa confidence..so ARV zikisitishwa unyanyapaa utazidi..
Mungu tusaidie.
 
Wewe unaamini Trump atakomesha ushoga na usagaji? Ajabu

Ndiyo.
Hata kile kitendo tu cha kuleta awareness na kuonesha Dunia kuwa ni jambo lisilofaa ni hatua kubwa sana .
Awareness is empowering
 
Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom