Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mwache Trump apige marufuku Dawa za ARV za Malaria kwani hizo Dawa za ARV hazitibu Maambukizi ya Ukimwi dawa za ARV hazina mpango wowote ule. Jamani mwenye kuwa na ugonjwa wa ukimwi anitafute kwa wakati wake ili nipate kumtibia apate kupona maradhi yake. Na Mtu mwenmye maradhi ya Malaria Sugu chemsha majani ya Mwarubaini kunywa kwa siku 3 asubuhi kikombe 1 mchana kikombe 1 na usiku kikombe 1 kwa siku 3 nenda kapime utakuta huna tena maradhi ya Malaria sugu Dawa nimetoa bure hiyo ifanyieni kazi mulete mrejesho wake hapa uguweni pole.Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
Hatua hiyo ni sehemu ya kusimamisha kwa muda msaada wa Marekani duniani kote ili kupitia upya programu hizo. Taarifa hiyo imetolewa kwa wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na USAID, ikiwa ni pamoja na kampuni ya Chemonics, ambayo inashirikiana na USAID kusambaza dawa hizo muhimu duniani kote.