Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda

Kama kuna jambo nimewahi kusikitika ni hili......

Sometimes, tunashangilia bila kujua kinachotokea mbeleni...

Serikali iwahi mapema sana' kuhakikisha items zote muhimu zinapatikana na zinaendelea kwa hawa ndugu zetu'

Na nilitegemea kuwepo na kikao cha dharura/hata bunge lijadili dharura hiyo
Waache kuwaza posho na mavieite wawaze dharula hii? Ulimsikia chalamila akiwananga mama wajawazito hapo juzi?
 
Na yale matangazo yanayoishia. "Kwa hisani ya watu wa Marekani" sasa yataadimika!
 
Mimi naumia na watoto ambao wanazaliw na hayo matatizo hawana atia kukatisha uhai wao pasi na ulazima
Uhai wa mtoto wa Tanzania ni jukumu la mama Samia na si mabeberu.
Pesa zinazotumiwa kuzalisha chawa ziende kwenye afya na elimu badala ya mchungaji Masanja Mkandamizaji na Steve "Nyerere" eti na goli la mama!
 
Bajeti ya Chai tuu Ikulu za Africa ni Mabilioni ya Dola Sasa Trump Aendelee Kukaza hivyo hivyo inabidi Tuwakumbushe Na Madudu mengine ili Wakaze kabisa
 
Akigomea kabisa mtutafute tuwape mbinu mbadala kusiwe na mpukutiko
 
Trump sio mtu mzuri.

Unawezaje fanya ukatili wa namna hii kwa binadamu wenzako kisa madaraka??
 
Kila mtu apambane na hali yake.

Convoy Moja ya Rais wa Afrika inazidi inqsafiri kwa gharama Kubwa kuliko ya Rais Biden harafu unasena we maskini upewe misada?

Sawa kabisa, acha tufe.

Li Trump litamsaidia Mwafrika atoke upumbavuni

Tutapata akili ya kumuuliza kiongozi, hivi wewe msafara wa ma landcruiser 80 ya nini hayo nchi ya masikini wachafu hii ??? Li Afrika lipate akili ya kuacha kumnunulia waziri vocha ya simu, na fenicha, na ma friji, na mafuta ya kumpeleka mkewe sokoni au kanisani, yani safari zake binafsi.

Nalipenda sana lile jitu. Wala sio racist, sio baguzi kabisa. Jana limempiga biti kali sana M-Sweden na Mkanada. Nilicheka sana.
 
Safi sana, humu jukwaani si kila siku mnazinasibu China na Urusi kwa kuziita Superpowerz mbele ya US?? Naona mshaanza kutoa milio kabla hata mwamba hajatia gia :3Kool:
Russia ni maskini tu ila wale ni wazungu wenye mikwara mingi.

China tekinolojia yao wanakopi tu na kuiba toka ulaya hawana Chao.

Ila kiuchumi China anapambana lakini bado sana kumuondoa US ingawa anapose threat.
 
Kweli kabisa,acha awanyooshe mbwa hawa. Si tulisema huyu mtu hafai kabisa
Sasa wewe naye mgonjwa wa akili,wewe ni mpiga kura wa marekani,kwani ulisema wewe trump hafai basi na wamarekani waseme hafai?acha kujipa umuhimu usio maana
 
Back
Top Bottom