Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu sasa ndio ukombozi wa kweli kiongozi.Misaada ikisitishwa mbona kila mtu atafanya maarifa namna gani maisha yatakuwa.Kuna kitu wanaita blessing in disguise.Mambo ya spoon feeding yameleta ujinga sana katika bara letu(Hadi matundu ya choo ni USAID hovyo kabisa)Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Vitalu vya upigaji na kupika data, intel taarifa WAKO nazoSasa hivi ukinasa njugu hakuna.
Hizi NGOs zinazoanzishwa kama uyoga kwamba zinapambana na ukimwi au TB si ndo zinakufa sasa
... Trump hana lolote, hapo anataka tu kujua asilimia yake kwa 'wakandarasi'!Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
Hatua hiyo ni sehemu ya kusimamisha kwa muda msaada wa Marekani duniani kote ili kupitia upya programu hizo. Taarifa hiyo imetolewa kwa wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na USAID, ikiwa ni pamoja na kampuni ya Chemonics, ambayo inashirikiana na USAID kusambaza dawa hizo muhimu duniani kote.
Endeleeni kukamuana inya. Mtapata malipo yake soon.Umefurahi kweli😂😂😂
Mkuu una hasira za kupandikizwa. Hasira zezote huleta stress, na stress inaua.
U feel hopeless, why?
Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Siku hizi watoto hawazaliwi naoMimi naumia na watoto ambao wanazaliw na hayo matatizo hawana atia kukatisha uhai wao pasi na ulazima