Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
-
- #61
Tokea nijue huna akili, sipotezi muda kukujibu chochote.Wewe ndio mpumbavu,umesema Trump anateremesha watu,hivi una umri gani wewe?
Umeandika huu uzi kwa ushabiki wa kijinga sana,weka source ya hayo matamko uliyo yaandika wewe hapa,hakuna nchi inayotetemeshwa na rais wa nchi nyingine,inaonekana umetawaliwa na fikra za kitumwa,
Halafu si kila siku hapa hua mnasema kua US hua ina mipango yake haijalishi rais ni nani? Naona unapiga ngoma na kuicheza wewe mwenyewe.
Mkuu usibishane nae huyo unapoteza muda, ni mpumbavu mmoja tuu huyo hapa JF aliyejawa chuki na matusi.Mkuu, kwani kutetemeka lazima mtu awe anaogopa?
Kuna wengine wanatetemeka kwa sababu ya degedege. Wengine wanatetema kama Mayelle. Na wengine wanatetemeka kwa furaha.
Emu rudi shule kidogo, unatia aibu hapa jukwaani. Ebo!
Hilo huwa ni lipumbavu kweli kweli. Likiingia humu ni kutukana tukana ovyo tu unless post iwe inalifurahisha!Tokea nijue huna akili, sipotezi muda kukujibu chochote.
BRAIN ROT 🚮
Umeanza kujitongozesha kwa watu sio? Wewe huna cha maana hapa JF zaidi ya ushabiki wa kijinga,unajadili siasa za kidunia kwa ushabiki maandazi kama vile unajadili vile vikundi vyenu vya ngoma huko porini kwenu?Mkuu usibishane nae huyo unapoteza muda, ni mpumbavu mmoja tuu huyo hapa JF aliyejawa chuki na matusi.
Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.Endelea kutukana tu kana kwamba una hatimiliki ya matusi!
Ulivyo mpumbavu kwa uzi huu tu hesabu post zako then uone ulizotukana ni ngapi? It shows who you're.
Nana wajane umeungana kutetea hoja zenu za kijinga,eti Trump anatetemesha viongozi! Huyo mleta mada nimemwambia alete reliable source ya hayo matamko ya hao viongozi,ameishia kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa.Hilo huwa ni lipumbavu kweli kweli. Likiingia humu ni kutukana tukana ovyo tu unless post iwe inalifurahisha!
Putin hatumii busara, nilikuwa namuunga mkono sana, lakini kwenye swala la Ukraine ndiyo nilipomuona mpuuzi. Alichotakiwa ni kujenga Ushawishi kwa Ukraine iwe upande wake kama alivyoweza kuwashawishi Belarusi, siyo kuanzisha vita visivyo na kichwa wala miguu, the same goes to China.Mkuu, mimi namuunga mkono Trump haswa! Ila ukimgusa Mchina na Russia, mapema sana naruka na wewe, hata vifuti utapata. Sikuachi!
China na Urusi zimekuwa zikitumia busara muda wote. Hata kabla ya vita vya Ukreni, Putin aliwaalika hao vichwa-ngumu wa West wakae meza moja wazungumze, ila wao wakavimba - wakiongozwa na Boris Johnson, RIP - retired in pity.
Busara hiyohiyo ndiyo waitumiayo sasa kwa sababu wanamwona huyu mpya ni rais na kiongozi anayetumia akili (yake binafsi) kuliko mabavu kama wale.
Halafu wenzio wanawaza kukuza uchumi na biashara kwa njia ya maafikiano, maridhiano na amani. Marekani yenyewe mara zote inaonekana kufanikiwa kwa kuyaanzishia timbwili mataifa mengine.
Wewe nimekwambia leta reliable source ya matamko ya hao viongozi,acha kuzuga hapa kwa kutafuta huruma kwa wajinga wenzako,leta reliable source hapa kiazi wewe.Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.
PATHETIC 🚮
Imebidi nifuatilia mlipoanzia, kumbe ni huyo? Alishaingia kwenye ignore list kitambo tuHilo huwa ni lipumbavu kweli kweli. Likiingia humu ni kutukana tukana ovyo tu unless post iwe inalifurahisha!
Akashenyentwe na BalthazarBora tubadilishane marais wa huku ande Equatorial Guinea
Weka reliable source hapa,acha taarabu,Kuna uongo wowote nimeongea??
Kama hamna kaa kimya.
Wewe una impact gani hapa JF? ndio kwanza naona hii ID, kumbe unanifuatilia wakati mimi wala sikujui,punguza shobo Mama.Imebidi nifuatilia mlipoanzia, kumbe ni huyo? Alishaingia kwenye ignore list kitambo tu
Mrusi huyu huyu anaepelekewa moto na ka Ukraine?Kwa hiyo wewe unadhani urussi inamwogopa trump wakati hata kipindi kile wamarekani walisema trump ni.pandikizi la urussi wewe huoni kuwa wamarekani wamemchagua rafiki wa putini hili kuepusha nchi yao kuzamishwa na urussi pamoja na washirika wake ....
Si unajua mtoto wa Zenj yule Bathazar hatoboi ataganda...mwisho wa siku atahamia Tz tumgeuze kivutio cha utalii wa nje na ndani.Akashenyentwe na Balthazar
Huwa nampuuzaga ila kwa "kujilengesha" yuko vizuri.Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.
PATHETIC 🚮
Jinga haswa!Imebidi nifuatilia mlipoanzia, kumbe ni huyo? Alishaingia kwenye ignore list kitambo tu
Interesting.List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Nadhani ana stress za maisha, huwez ukawa una furaha na amani maishani alaf ukawa insecure, umejawa matusi na chuki kama jamaa, he is not normal.Huwa nampuuzaga ila kwa "kujilengesha" yuko vizuri.