Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Wewe ndio mpumbavu,umesema Trump anateremesha watu,hivi una umri gani wewe?

Umeandika huu uzi kwa ushabiki wa kijinga sana,weka source ya hayo matamko uliyo yaandika wewe hapa,hakuna nchi inayotetemeshwa na rais wa nchi nyingine,inaonekana umetawaliwa na fikra za kitumwa,

Halafu si kila siku hapa hua mnasema kua US hua ina mipango yake haijalishi rais ni nani? Naona unapiga ngoma na kuicheza wewe mwenyewe.
Tokea nijue huna akili, sipotezi muda kukujibu chochote.

BRAIN ROT 🚮
 
Mkuu, kwani kutetemeka lazima mtu awe anaogopa?

Kuna wengine wanatetemeka kwa sababu ya degedege. Wengine wanatetema kama Mayelle. Na wengine wanatetemeka kwa furaha.

Emu rudi shule kidogo, unatia aibu hapa jukwaani. Ebo!
Mkuu usibishane nae huyo unapoteza muda, ni mpumbavu mmoja tuu huyo hapa JF aliyejawa chuki na matusi.
 
Mkuu usibishane nae huyo unapoteza muda, ni mpumbavu mmoja tuu huyo hapa JF aliyejawa chuki na matusi.
Umeanza kujitongozesha kwa watu sio? Wewe huna cha maana hapa JF zaidi ya ushabiki wa kijinga,unajadili siasa za kidunia kwa ushabiki maandazi kama vile unajadili vile vikundi vyenu vya ngoma huko porini kwenu?
 
Endelea kutukana tu kana kwamba una hatimiliki ya matusi!

Ulivyo mpumbavu kwa uzi huu tu hesabu post zako then uone ulizotukana ni ngapi? It shows who you're.
Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.

PATHETIC 🚮
 
Hilo huwa ni lipumbavu kweli kweli. Likiingia humu ni kutukana tukana ovyo tu unless post iwe inalifurahisha!
Nana wajane umeungana kutetea hoja zenu za kijinga,eti Trump anatetemesha viongozi! Huyo mleta mada nimemwambia alete reliable source ya hayo matamko ya hao viongozi,ameishia kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa.
 
Mkuu, mimi namuunga mkono Trump haswa! Ila ukimgusa Mchina na Russia, mapema sana naruka na wewe, hata vifuti utapata. Sikuachi!

China na Urusi zimekuwa zikitumia busara muda wote. Hata kabla ya vita vya Ukreni, Putin aliwaalika hao vichwa-ngumu wa West wakae meza moja wazungumze, ila wao wakavimba - wakiongozwa na Boris Johnson, RIP - retired in pity.

Busara hiyohiyo ndiyo waitumiayo sasa kwa sababu wanamwona huyu mpya ni rais na kiongozi anayetumia akili (yake binafsi) kuliko mabavu kama wale.

Halafu wenzio wanawaza kukuza uchumi na biashara kwa njia ya maafikiano, maridhiano na amani. Marekani yenyewe mara zote inaonekana kufanikiwa kwa kuyaanzishia timbwili mataifa mengine.
Putin hatumii busara, nilikuwa namuunga mkono sana, lakini kwenye swala la Ukraine ndiyo nilipomuona mpuuzi. Alichotakiwa ni kujenga Ushawishi kwa Ukraine iwe upande wake kama alivyoweza kuwashawishi Belarusi, siyo kuanzisha vita visivyo na kichwa wala miguu, the same goes to China.

Wakat ukimuana Russia anatumia busara, behind the stage ndiye amekuwa ak engineer mfumuko wa wakimbiza kuingia Ulaya. Wanaenda Russia kwa gear ya utalii, ana facilitate usafiri na kuwapeleka Belarusi , wakifika uhuko walikuwa wanapelekwa border ya Belarusi na Poland wanawasukumizia huko.

Poland imejenga ukuta kwenye mpaka wote wakawa wanalazimisha kuruka, sasa hivi mtu akiruka tu ni shot to kill. Wakadhani utani, walipojaribisha waliuawa sana. Muda wote anafanya hayo ilikuwa ni kabla ya vita, maana yako kuna kitu aliuwa akikiandaa dhidi ya West
 
Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.

PATHETIC 🚮
Wewe nimekwambia leta reliable source ya matamko ya hao viongozi,acha kuzuga hapa kwa kutafuta huruma kwa wajinga wenzako,leta reliable source hapa kiazi wewe.
 
Nadhani ni kutokana na alivyo ji-brand, ata kwenye vikao vya G20 wanamchukulia kama mtu mkubwa sana wa kuwapa maono.
Kwa Africa alikuwepo Id Amin naye alikuwa anaogopeka, yeye alikuwa kama nembo ya Afrika kwa kipindi hicho​
 
Imebidi nifuatilia mlipoanzia, kumbe ni huyo? Alishaingia kwenye ignore list kitambo tu
Wewe una impact gani hapa JF? ndio kwanza naona hii ID, kumbe unanifuatilia wakati mimi wala sikujui,punguza shobo Mama.
 
Kwa hiyo wewe unadhani urussi inamwogopa trump wakati hata kipindi kile wamarekani walisema trump ni.pandikizi la urussi wewe huoni kuwa wamarekani wamemchagua rafiki wa putini hili kuepusha nchi yao kuzamishwa na urussi pamoja na washirika wake ....
Mrusi huyu huyu anaepelekewa moto na ka Ukraine?
 
Katika watu ambao hawana akili humu ndani, huyo jamaa ni namba moja, hana point yoyote zaidi ya matusi vitu ambavyo havieleweki, mara ooh we ni mjane, mara ooh we ni maskini mjane, kama vile anawajua watu in person.

PATHETIC 🚮
Huwa nampuuzaga ila kwa "kujilengesha" yuko vizuri.
 
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;

  1. Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
  2. Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
  3. Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
  4. Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
  5. Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
  6. Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
  7. European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
  8. Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
  9. Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
  10. Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
  11. Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
  12. Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
Interesting.

Lakini unachukuaje muda mrefu hivyo kuandika huku huna muda wa kuweka source ya habari yako?
 
Back
Top Bottom