Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Marekani imeua askari mmoja, Irani imetwanga base mbili kibabe.
Inaonekana viaskari vya marekani vilikimbia kambi
Wake up mkuu huu ni mchongo...ayatollah aliwasiliana na Whitehouse kuwa atapiga base ipi na ipi ili waondoe askari. . that way Iranians wanafurahi revenge na us haina casualties.... Its a win win situation
 
Bro we una akili kubwa sana. Mambo ya foreign intelligence yaonesha unayafuatilia sana na unayajua!! Nimeyapenda maelezo yako yenye mantiki kubwa.
 
Uwezo wako mdogo sana ndugu yangu

Urais wa america ni taasisi,unadhani urais wa america ni maamuzi ya mtu mmoja tu anayeitwa rais??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nyinyi watanganyika ni waoga wa kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…