Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Marekani imeua askari mmoja, Irani imetwanga base mbili kibabe.
Inaonekana viaskari vya marekani vilikimbia kambi
Wake up mkuu huu ni mchongo...ayatollah aliwasiliana na Whitehouse kuwa atapiga base ipi na ipi ili waondoe askari. . that way Iranians wanafurahi revenge na us haina casualties.... Its a win win situation
 
After Ayatollah, Rouhani, then Soleiman in ranking of what was the Iran powerful men. Qassem kauwawa, unalipiza Kwa kupiga base walizo Hama, tena Kwa kuwapa Notice kua ntapiga hapa. That was face cover-up ili Iranians na dunia wajue kalipiza lakini alijua anachokifanya.

Something ambacho labda hukijui

Qassem Soleiman anlikua anaaminiwa Sana na Ayatollah na alikua popular Iran yote kiasi kwamba angekuja kumpindua unpopular president Rouhani. Kama unabisha angalia watu walivo uana kwenye mazishi yake. Qassem alikua anapewa misheni ambazo inabidi afe toka muda. Iran kumuua Qassem ingeleta non-stop protesters even hata ku asi government. Sasa kauawa Iraqi, Iran ana retaliate Kwa kupiga base ambazo Kwanza alitoa notice, harafu anajua wanajeshi hawapo,. serious???

Ilibidi Qassem afe na non-Iran involvement attack , ili kuzima protestation iliyopo na kumsingizia USA Kwa kuua kipenzi cha Iranians.


Sasa nani atamuua Soleiman....kuua kiongozi wa juu wa nchi ni assassination na maanayake unatangaza vita. Ili Qassem afe tufanyaje? Tumpe misheni za kuua wamarekani Middle east halafu USA inamuua kama Al-Baghdad

Hii ni win-win situation

USA wanajua wameua terror mkubwa wa muda mrefu, Yes


Iran wanajua tumesacrifice Powerful na popular person ambaye angetishia hata serikali. Yes.

Soleiman alikua anaaminiwa hata na jeshi..unazani kupindua Iran ingekua kazi ngumu kwake?

Ukiona General ni powerful and popular, Una sacrifice misheni ambazo hawezi kuachwa salama

Wangekua wanampenda Soleiman ilibidi awe retired official tayari maana kahudumu mission za middle East muda mrefu sana

Kama kichwa maji mission kama hizi huwezi kuelewa.
Bro we una akili kubwa sana. Mambo ya foreign intelligence yaonesha unayafuatilia sana na unayajua!! Nimeyapenda maelezo yako yenye mantiki kubwa.
 
Ohoo[emoji28][emoji28]
_.nevers._-20200108-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Kwani USA ilipoivamia Libya Trump ndio alikuwa raisi ???

Kwa taarifa yako tangu trump ameingia madarakani wanajeshi wengi wamepunguzwa Iraq .. Jamaa Sera zake sio Vita ... Nenda kasome vizuri ndugu yangu ...


Libya ilivamiwa chini ya Barack Obama na Hilary Clinton... Iraq ilivamiwa na George Bush ...


Huwa Nasikitika Sana kuona vijana wa Tanzania tunashindwa kujua vitu vidogo hivi vilivyoko Google ... Napata maswali hivi miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa la namna gani .. itakuwa taifa la mazuzu au mang'ombe yasiyojua Geopolitical issues ... Ukikaa na mkenya hata alieishia primary school ana exposure kubwa ya mambo kushinda sisi ... Kama taifa tusipochukua hatua tutatawaliwa tena haki ya mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako mdogo sana ndugu yangu

Urais wa america ni taasisi,unadhani urais wa america ni maamuzi ya mtu mmoja tu anayeitwa rais??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi

Huo ndo ukweli kwamba America ni baba wa Uoga ulimwengun wala hana uwezo wa kuingia vitan na nchi kubwa kama Iran

Kazoea kuonea vidaa tu manyangumi hawawezi

Poor America

Poor trump

Big up Ayatollah

Hands up Iran


Tumeshinda bye bye


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyinyi watanganyika ni waoga wa kufa mtu
 
Back
Top Bottom