Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wake up mkuu huu ni mchongo...ayatollah aliwasiliana na Whitehouse kuwa atapiga base ipi na ipi ili waondoe askari. . that way Iranians wanafurahi revenge na us haina casualties.... Its a win win situationMarekani imeua askari mmoja, Irani imetwanga base mbili kibabe.
Inaonekana viaskari vya marekani vilikimbia kambi
Bro we una akili kubwa sana. Mambo ya foreign intelligence yaonesha unayafuatilia sana na unayajua!! Nimeyapenda maelezo yako yenye mantiki kubwa.After Ayatollah, Rouhani, then Soleiman in ranking of what was the Iran powerful men. Qassem kauwawa, unalipiza Kwa kupiga base walizo Hama, tena Kwa kuwapa Notice kua ntapiga hapa. That was face cover-up ili Iranians na dunia wajue kalipiza lakini alijua anachokifanya.
Something ambacho labda hukijui
Qassem Soleiman anlikua anaaminiwa Sana na Ayatollah na alikua popular Iran yote kiasi kwamba angekuja kumpindua unpopular president Rouhani. Kama unabisha angalia watu walivo uana kwenye mazishi yake. Qassem alikua anapewa misheni ambazo inabidi afe toka muda. Iran kumuua Qassem ingeleta non-stop protesters even hata ku asi government. Sasa kauawa Iraqi, Iran ana retaliate Kwa kupiga base ambazo Kwanza alitoa notice, harafu anajua wanajeshi hawapo,. serious???
Ilibidi Qassem afe na non-Iran involvement attack , ili kuzima protestation iliyopo na kumsingizia USA Kwa kuua kipenzi cha Iranians.
Sasa nani atamuua Soleiman....kuua kiongozi wa juu wa nchi ni assassination na maanayake unatangaza vita. Ili Qassem afe tufanyaje? Tumpe misheni za kuua wamarekani Middle east halafu USA inamuua kama Al-Baghdad
Hii ni win-win situation
USA wanajua wameua terror mkubwa wa muda mrefu, Yes
Iran wanajua tumesacrifice Powerful na popular person ambaye angetishia hata serikali. Yes.
Soleiman alikua anaaminiwa hata na jeshi..unazani kupindua Iran ingekua kazi ngumu kwake?
Ukiona General ni powerful and popular, Una sacrifice misheni ambazo hawezi kuachwa salama
Wangekua wanampenda Soleiman ilibidi awe retired official tayari maana kahudumu mission za middle East muda mrefu sana
Kama kichwa maji mission kama hizi huwezi kuelewa.
Huyu Alinacha bado yuko hai?Kuna hitaji miwani kujua nani mnene kati ya JB na barnaba?
Kuna hitaji elimu gani kujua iran na marekani nani ananguvu?
Sikufichi tukiondoa mapenzi hata sisi hapa tukiliweka kati jwtz nakwambia iran hatoki
Eeh naskia naye kavuka mwaka
Sana tu.Wewe unawajua?
Wanaweza kumpiga U.S.A?Sana tu.
Uwezo wako mdogo sana ndugu yanguHahaha Kwani USA ilipoivamia Libya Trump ndio alikuwa raisi ???
Kwa taarifa yako tangu trump ameingia madarakani wanajeshi wengi wamepunguzwa Iraq .. Jamaa Sera zake sio Vita ... Nenda kasome vizuri ndugu yangu ...
Libya ilivamiwa chini ya Barack Obama na Hilary Clinton... Iraq ilivamiwa na George Bush ...
Huwa Nasikitika Sana kuona vijana wa Tanzania tunashindwa kujua vitu vidogo hivi vilivyoko Google ... Napata maswali hivi miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa la namna gani .. itakuwa taifa la mazuzu au mang'ombe yasiyojua Geopolitical issues ... Ukikaa na mkenya hata alieishia primary school ana exposure kubwa ya mambo kushinda sisi ... Kama taifa tusipochukua hatua tutatawaliwa tena haki ya mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaliza mwaka juzi sister wanguMatokeo ya form four yanatoka lini Beira Boy
Ni mbwa koko anabweka tu lakin hana chochotehehehe trump ni kunguru 😀😛
Hata nyinyi watanganyika ni waoga wa kufa mtuAman iwe nanyi
Huo ndo ukweli kwamba America ni baba wa Uoga ulimwengun wala hana uwezo wa kuingia vitan na nchi kubwa kama Iran
Kazoea kuonea vidaa tu manyangumi hawawezi
Poor America
Poor trump
Big up Ayatollah
Hands up Iran
Tumeshinda bye bye
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Precisely hitting US facilities ....! Yule Trump hakulala
Hahahahaha jamaniKalazimika kuanzisha uzi kwa namna Trump alivyomuudhi. Yeye alitaka zipigwe.