Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

One:- USA elfu 5 wapo Iraq... NI LINI WALIHAMA?

2. Teran ilitoa idadi ya sehemu watakazo piga ila sio location...
HIYO DIFINED TARGET ILITOKA LINI?

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naogopa sana endapo angetangaza vita na Hawa Jamaa.


Wakati naimalika kiuchumi kisawa sawa..Hawa Jamaa wanataka kuivuruga dunia..Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuwaje taarifa zote ziseme kuwa kambi za marekani zimeshambuliwa na huku pentagon ikikiri kuwa kambi zao zimeshambuliwa alafu anaibuka mtu huko anakuja kutuaminisha ilikuwa off tagert! Yan ushushe kombora kambi ya lugalo pale kwa mfano na CDF akiri kuwa lugalo imeshambuliwa then anakuja ngosha anasema makombora yalikuwa of target...! Yan yameangukia tanki bovu pale au mwenge! Hahaha usa kwa propaganda ajambo aisee
 
Achen story hayo madege jana na juzi alikuwa anayasomba ya kazi gan kuyapeleka mashariki ya kati?

Sent using Jamii Forums mobile app
Intimidation

hata psychology huijui

Umeua high ranking official wa nchi flani, unajua kabisa liwake jua, inyeshe mvua hawa wata retailate ( ukiachana na mission ya huyo retaliater mwenyewe, whether ata au hata).

Kwahiyo unamtisha ili hatakama aki retaliate aogope kufanya crisis escalation na kuleta vita.

Ile ni intimidation na nikawaida unamtisha adui kua akilipa napiga tena.

Irani alijua tu, nikilipa full scale hapa, lazima itaniback fire totally and fury. Ko akamwambia napiga military base mbili, hii na hile.

Trump alimwambia Iran kua atamuua Soleiman? Nope

Atapiga Iraqi Airport? Nope.

Kwanini Irani aseme base gani atapiga??


Trump alosema Iran akilipa napiga zaidi at full scale yaani napiga ambacho Irani hawezi taka kukipoteza

Je haya Trump amesema ata retaliate baada ya base kupigwa? Nope

Kwanini? Mkwara au pre warning imefanya kazi ( military aircraft exercises na maneno) plus Iran retaliation haijaua mu-USA

Hapo Soleiman katolewa kafala , mrithi wa Soleiman hana hata ushwawishi Iran au Kwa Rouhani

Irani government haitaki tena mapinduzi. Ukiwa popular na powerful official unapewa misheni Tu.
 
Siyo mihemuko mkuu

Unajua watu wengi wanazan USA ni taifa lenye nguvu ukweli kwamba nguvu ya USA iko mdomon zaid na kwa nchi changa kama tz na Uganda lakin siyo kwa mabeberu wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN anathubutuje kutunisha msuli mbele ya mmarekani?

America ingekua na nguvu mdomoni basi isingem-attack kasimu, IRAN isingekua na mdomo ingelipisha na sio kupiga off target
 
Trump kawafanya timu amerika kuikimbia jf.
 
Unacheo gani hapo Pentagon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wake up mkuu huu ni mchongo...ayatollah aliwasiliana na Whitehouse kuwa atapiga base ipi na ipi ili waondoe askari. . that way Iranians wanafurahi revenge na us haina casualties.... Its a win win situation
Thibitisha.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Nataka kujua tu
Makampuni ya kubeti wamewekaje hili ili nijifunze kuchora mkeka tuu
Nimechoshwa na biko

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba vita haina draw

Halafu hata makampuni ya kubetisha hawawezi kukubali kupata hasara kipumbavu hivi

Hata hawa unaowaona wanaishabikia IRAN hawatabeti kwa kumpa IRAN watamkana kwa kuangalia maslahi yao kwasababu ukweli wanaujua ila hapa wanachangamsha genge tu
 
Yaani Iran kanichekesha sana,mbaya zaidi anadai eti Wanajeshi 80 wameuawa katika shambulizi wakati hizo bases zinakaliwa na Wanajeshi wa Iraq, U.K, Germany na Canada na hao wengine hawajakufa wala kujeruhiwa hata mmoja.

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa umekomaa na kubeza elimu za watu mtandaoni as if tuko hapa kuonyeshana nani alifaulu sana kuliko mwenzie! Hujishangai kwamba kwamba hamna jf inapoelekeza uweke copy za vyeti hapa kama sharti mojawapo la kufungua account. Punguza ujuaji maana mwisho wa siku utaeleweka kama mjivuni wa elimu moja ya tabia za kishamba sana
 
View attachment 1316438

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
 
Umeona na kusoma?

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…