Achen story hayo madege jana na juzi alikuwa anayasomba ya kazi gan kuyapeleka mashariki ya kati?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Intimidation
hata psychology huijui
Umeua high ranking official wa nchi flani, unajua kabisa liwake jua, inyeshe mvua hawa wata retailate ( ukiachana na mission ya huyo retaliater mwenyewe, whether ata au hata).
Kwahiyo unamtisha ili hatakama aki retaliate aogope kufanya crisis escalation na kuleta vita.
Ile ni intimidation na nikawaida unamtisha adui kua akilipa napiga tena.
Irani alijua tu, nikilipa full scale hapa, lazima itaniback fire totally and fury. Ko akamwambia napiga military base mbili, hii na hile.
Trump alimwambia Iran kua atamuua Soleiman? Nope
Atapiga Iraqi Airport? Nope.
Kwanini Irani aseme base gani atapiga??
Trump alosema Iran akilipa napiga zaidi at full scale yaani napiga ambacho Irani hawezi taka kukipoteza
Je haya Trump amesema ata retaliate baada ya base kupigwa? Nope
Kwanini? Mkwara au pre warning imefanya kazi ( military aircraft exercises na maneno) plus Iran retaliation haijaua mu-USA
Hapo Soleiman katolewa kafala , mrithi wa Soleiman hana hata ushwawishi Iran au Kwa Rouhani
Irani government haitaki tena mapinduzi. Ukiwa popular na powerful official unapewa misheni Tu.