Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Yah yaliua na Kutia Ulemavu japokua hawakua wengi..Unajifany mgumu kuelewa, kambi ni kubwa n sio yote imetapakaa watu, kuna maghara kun store kuna office, kwani yale mabum y mbagala yaliua wajeda?
Alafu inakuwaje 80.... na sio themanini na....Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.
Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?
Iran bado ina tapatapa
Hilo moja, lkn itakuwa ni uzembe ambao hakuna nchi duniani inaweza kuufanya iwapo Wamarekani wangeuwawa. Inawezekanaje Iran atangaze kulipa kisasi halafu Marekani wakae kwa kubweteka kwenye eneo ambalo lina uwezekano mkubwa wa kushambuliwa?Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.
Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?
Iran bado ina tapatapa
Yani wewe umeandika hii habari ukiwa na mihemko ya mabwana zako wamarekaniIran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.
Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?
Iran bado ina tapatapa
Haha dogo Iran anayo technology ya juu ambayo inaweza kuhesabu maiti na majeruhi kwa mbali, aliweza kugundua waliokuwa ndani ya ndege ya USA asigunduwe walio kwenye base.Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.
Sasa ili kujua kuwa iran ni waongo watuambia haya yafuatayo:
1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
3.Je hao watu 80 wanauzito sawa na kifo cha jenerali wao.Kwanini wasiue moja ya viongozi wakubwa wa USA kama kulipa kisasi kuliko kuuwa watu 80 wasio na effect yoyote?
Iran bado ina tapatapa
Wacheni hizo ikiwa hakuna mmarekani aliyekufa au kumia basi majumba ya yalikuwa hayana wanajeshi au American military abandoned their base baada ya kumua General Suleiman inaonyesha ni vipi Jeshi la Us real cowards in war 😂 😁Iran hajaua wale askari kwa sababu anafahamu angefanya hivo kitachompata kingekua hatareeeee.....wanatumia propaganda. Wanataka dunia ifahamu wamelipa kisasi. We subiri baada ya muda flani Iran atapiga kimya na maisha yataendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unafanya assumptions tuuAcha ushabiki ndugu, yanayoendelea kwenye hii dunia na agenda zake ni zaidi unavyoona na kusikia kwenye media.
Ingefaa ubaki kuombea amani na utulivu tu duniani sababu kinachoendelea kwenye hayo majibizano ya silaha ni zaidi vita wanazotishiana kila siku.
Nikirudi kwenye swali lako ni kwamba technologia imekuwa sana sasa hivyo inawezekana hiyo idadi ya vifo ilifahamika kwa njia ya technology
Pili inawezekana idadi ya vifo ilipatikana kwa kutumia double Agent sababu mashirika makubwa ya kijasusi duniani yana mtindo wa kupandikiza Agent kwenye shirika lingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaaaa Team mawigi mnashida sana Karibu huku tukisema neno tukiweka nukta tumetekeleza
Unajua kwa nini mpaka sasa tunaonyeshwa picha za satelite tu!? Kwa nini US hajaruhusu waandishi wa habari kuingia ama kukaribia kwenye eneo la tukio!? Wakati mwingine tunalazimika kuchanganya za kwetu!2.Ziko wapi evidence za ku prove kuwa ni kweli wameua raia wa Marekani na walikuwa 80.
Nadhani yale makombola yalikuwa 'guide' i.e. may have electronic devices to send image/massage back to Iran. Kumbuka 19 yalidondoka pale na mawili kati yake haya kulipuka baada ya kudondoka ndani ya kambi hiyo.1.Waliwezaje kuwa hesabu hao maiti waliowaua?
Yaani walitumia njia gani kujua kuwa walikuwa 80.
Hiyo ni possible!Hakun kitu hapo inasemekana Iran walitoa taarifa kuhusu shambulio mapema sana.
Hizo base zinamilikiwa na nchi nyingi, Iraq mwenywe, Uk, France, Poland lakin wote kwa nyakati tofauti wanasema hakun casualties manake mashambulizi yote ni OFF TARGET
Iran ni sehem y mpango wa trump kugombea awamu ya pili, Wanakuchezesh ngoma bila wew kujua. Pole
Iran baada ya kushambulia baadhi ya kambi mbili za Marekani nchini iraq wakaja na taarifa kuwa wameuwa raia 80 wa Marekani.