Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Kuhuse swali la pili iran wanazo sensor ambazo zina detect the presence of stationary humans by detecting body heat kama hujui hilo basi umepitwa na wakati.


Kuhusu swali la tatu hao 80 we unadhani wote ni vifaranga hakuna mijogoo, hakuna silaha zenye thamani kuliko General mmoja wa Iran basi utakuwa umeota. Inatosha aibu tu kuwa hakuna hata nchi katika dunia kamsogelea US kumkuna lakini Irani kamcharaza bokora 20 na dunia nzima wameona. Afu US embassador kule Israel alisema kuna few casualities kutokana na infom alizo pata na Trump anasema hakuna sa nani amumini US.
 
Wewe vita umevijulia wapi?




dodge
 
Mkuu hii dunia kila utawala una wakati wake utapita tu..... Utawala gani ulikua na nguvu za kutisha kama The great horde ya Mongolia waliokuwa wanachinja kila mji wanaovamia, Kuna kipindi Ulaya nzima ilikua hailali kwa kuhofia utawala wa Ottoman kuumeza lakini wote hao walipukutika. Same to US iko siku atashushwa tu balance of power inaelekea mashariki ni suala la muda tu China inaweza kuwa superpower kwa mbali sana kuliko USA ..... Wamejitanua sana na wana population advantage ni suala la muda tu wataishangaza dunia let's wait and see.
 
Hao Merekani wanaona watu hawana akili,makombora kumi na,hakuna hata majeruhi[emoji3],mijinga sana MIBEBERU.
 
Hizi bifu za USA na Iran tangu kitambo tu zipo ..awapigani vita ila Mara nyingi Iran ndo huwa anabaki na maumivu..

USA anajua vizuri kucheza na Iran..

NB: Amerika ndo baba wa dunia na hauna wa kubisha katika hili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina Osama washalipua WTC achana na uyo Iran anaruka ruka tu...

The Great America...[emoji562][emoji562]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina Osama washalipua WTC achana na uyo Iran anaruka ruka tu...

The Great America...[emoji562][emoji562]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuchukulie ni kweli alilipua japo nje ya carpet kuna ushahidi kuwa yale majengo yaiangushwa na controlled demolition.
Osam kwanza alitoa video akikana kuhusika, pili Alqaeda haikuwa nchi alikuwa akipigana vita ya guerrella kitu ambacho watu wengi wanafanya maana hata pa kkuwapata hujui.
Nitajie nchi ambayo imefanya iran ilichokifanya baada ya WW2
 
D D...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are now the number-one producer of oil and natural gas anywhere in the world. We are independent, and we do not need Middle East oil.
Washajivunia mafuta yakutosha sasa wanatambia mali ya dhulma kwenye visima vyao.Wakoloni walivuna madini usa now kavuna mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kwa mfano sasa ukawekewa mezani Visa ya USA na Iran utachagua ipi?

Sema ukweli acha kujikuta...



Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaenda zangu US napatamani kinoma ila nikifka nitawapa ukweli wao kwa sura ya Prof Kabudi wakati anajitashititi kwa raisi kuwa kamchana barozi wa Canada na kuwaambia kuwa.
This time waajemi wamewashika pabaya ...over
 
Stori za kujifariji za vijiweni hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina Osama washalipua WTC achana na uyo Iran anaruka ruka tu...

The Great America...[emoji562][emoji562]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako ni mgando mkuu. Osama alikua anaongoza kikundi cha mafichoni,siyo nchi. Ni guerilla war. Iran ni nchi kamili na imeutangazia ulimwengu mchana kweupe kama nchi,tumepiga kambi zenu na siyo THAAD au chochote kimeweza kuzuia makombora kuhit targets.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…