Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Imepiga magofu ya kambi
 
Imepiga magofu ya kambi
Trump anasema US army ndio ina bajeti kubwa dunia nzima lkn kumbe wanajeshi wake huko Iraq wanaishi kwny magofu,inasikitisha sana.

dodge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uzito Wa Roho Zote Sawa Mtu Mmoja Atabakia Kua Mmoja Na Watu 80 watabakia kama walivyo


Nb:US =Anamifumo Butu Sana Ya Ulinzi Wa Anga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huhitaji kwenda Chuo Kikuu ili kujua ukweli halisi baada ya Iran kushambulia kambi za Marekani.

Trump asitudanganye. Sisi ni watu wenye akili timamu. Ukisikia kambi ya jeshi maana yake inafanya kazi masaa yote hakuna kulala wala kusinzia.

Katika hali ya kawaida kabisa, inawezekanaje kambi yenye wanajeshi ndani yake ikateketezwa na Makombora halafu asife mwanajeshi hata mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukurupuka mkuu na uache kuandika uzi kishabiki. Hao wanajeshi waliokufa wako wapi.?? Umeona picha zao..?? Au evidence yoyote ya mwanajeshi wa USA kafa..?? Yaan marekani wanajeshi wake zaidi ya 50 wauawe halafu wao wafiche au wakatae kwa faida ya nani.,hivi unajua gharama ya kumtunza mwanajeshi mmoja wa marekani kwa mwaka mmoja nje ya nchi yao ni kiasi gani..?? Je hao wanajeshi hawana ndugu..??

Vtu vngne sio mpk uwe na elimu ya chuo kujiongeza, yule General hakuuawa bahati mbaya watu wenye akili walikaa wakacalculate na wakafanya maamuz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona akili zinawarudi baada ya kichapo BREAKING: The House passed a war powers resolution that limits President Trump's ability to wage war in Iran. It blocks U.S. military force against Iran without Congress's approval or declaration of war. AJ+ on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…