theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!Mzee kapoa jamani msihofu hakuna Vita labda Iran ilazimishe
Vita sio nzuri kweli mkuu ila sasa marekani apunguze nae kelele kuchwa kujisifia tu mara ivi mara vile. Sasa Trump leo kaja mkia uko nyumawe jamaa bhana vita sio nzuri mkijificha kwenye keybord mna maneno ya Shombo sana
Eti taarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran kumbe wanatisha hivi...hii soft tune ya Trump sikuitegemea.!!!
====
Lakini nadhani watakuwa wanaplan more 'evil' dhid ya Iran. Iran must not be ease to this soft bait!
Hakuna vifo wala majeruhi ila kuna Damage kidogo ya izo base
Hao bush na huyo truman wakat wapo WH IRAN Ilikua Haijaumbwa Bado ?!.....Kamaliza kuhutubia ni mwendo wa Taarabu tu sijasikia maamuzi magumu mpaka nimemkumbuka Bush Jr na H. Truman
Hatutaki Vita Ila US Aache Uonevu Na Uuaji Shenzi.....Trump ana jimwambafai tu sikati Military capability US ni powerful ila kila siku kuja na ngonjera za kuwa we have powerful missiles ni ngojera
Hakuna kitu,Trump kashaua yule kamanda wao kafanikisha lengo lake.Waoga? Kapiga military base baada ya mikwara yote ya Trump na kasema kuwa ni yeye bado unamuita muoga? Dah kwa kujipa moyo... US anajiepusha kuingia vitani ashajua kuwa Iran yuko tayari na si ajabu anajua kuwa kuna sababu inayompa kiburi Iran siyo kawaida sasa hapa anafanya damage control ya kuikimbia vita eti angeua hata askari mmoja?
US this time kapatikana allikuwa kazoea washika waaarab makalio sasa kakutana na Muajemi
Halafu baada ya kkumuua akasemaje? Kuwa wakilipa kisasi kwa namna yoyote atafanya nini vile...?Hakuna kitu,Trump kashaua yule kamanda wao kafanikisha lengo lake.
Huyo mtu alikua ni muhimu sana kwa Iran.Iran imepata pigo kubwa sana.Halafu baada ya kkumuua akasemaje? Kuwa wakilipa kisasi kwa namna yoyote atafanya nini vile...?
Kumbe hizo military base Marekani allikuwa kaziweka kama mapambo hazikuwa na wanajeshi wala na mitambo ya maana? Yes alikuwa muhimu kauawa na wakatishia wakijibu watakiona sasa vipi mzee hivi baada ya majibu Trump kasemaje vile?Huyo mtu alikua ni muhimu sana kwa Iran.Iran imepata pigo kubwa sana.
Jamaa ndio alikuwa Mastermind wa kila kitu Iran ni pigo kubwa.Huyo mtu alikua ni muhimu sana kwa Iran.Iran imepata pigo kubwa sana.