After Ayatollah, Rouhani, then Soleiman in ranking of what was the Iran powerful men. Qassem kauwawa, unalipiza Kwa kupiga base walizo Hama, tena Kwa kuwapa Notice kua ntapiga hapa. That was face cover-up ili Iranians na dunia wajue kalipiza lakini alijua anachokifanya.
Something ambacho labda hukijui
Qassem Soleiman anlikua anaaminiwa Sana na Ayatollah na alikua popular Iran yote kiasi kwamba angekuja kumpindua unpopular president Rouhani. Kama unabisha angalia watu walivo uana kwenye mazishi yake. Qassem alikua anapewa misheni ambazo inabidi afe toka muda. Iran kumuua Qassem ingeleta non-stop protesters even hata ku asi government. Sasa kauawa Iraqi, Iran ana retaliate Kwa kupiga base ambazo Kwanza alitoa notice, harafu anajua wanajeshi hawapo,. serious???
Ilibidi Qassem afe na non-Iran involvement attack , ili kuzima protestation iliyopo na kumsingizia USA Kwa kuua kipenzi cha Iranians.
Sasa nani atamuua Soleiman....kuua kiongozi wa juu wa nchi ni assassination na maanayake unatangaza vita. Ili Qassem afe tufanyaje? Tumpe misheni za kuua wamarekani Middle east halafu USA inamuua kama Al-Baghdad
Hii ni win-win situation
USA wanajua wameua terror mkubwa wa muda mrefu, Yes
Iran wanajua tumesacrifice Powerful na popular person ambaye angetishia hata serikali. Yes.
Soleiman alikua anaaminiwa hata na jeshi..unazani kupindua Iran ingekua kazi ngumu kwake?
Ukiona General ni powerful and popular, Una sacrifice misheni ambazo hawezi kuachwa salama
Wangekua wanampenda Soleiman ilibidi awe retired official tayari maana kahudumu mission za middle East muda mrefu sana
Kama kichwa maji mission kama hizi huwezi kuelewa.