Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Ila pia alisema...
Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.
Kwa hiyo hakuna loss kabisa na wewe ukaamini kabisa? Tukio limetokea zaidi ya masaa 12 kabla ya hotuba ya Trump muda wote huo alikuwa anatafuta la kusema.
You can fool some people but not all.
Niguse uone unatandikwa ngumi halafu unasema hii ngumi haikunisababishia maumivu hivyo sitojibu. lakini si ulisema akikugusa tu atakiona?
Marekani kawa mdebwedo na ataendelea vimbiwa sana ile kauli ya make America great again naona inaanza kuwa make America ....
 
Umesema sana ya trump na marekani kiujumla ngoja nami niseme ya iran

Hivi iran inachezaje draft peke yake na kujitangaza kua mshindi?

Unanunua makombora kwa bei kubwa unatumia mabilion ya dollar halafu unalenga off target halafu unapotosha umma kua umelenga on target?

Lengo lao hapo lilikua nini haswa?
 
Kwa hiyo hakuna loss kabisa na wewe ukaamini kabisa? Tukio limetokea zaidi ya masaa 12 kabla ya hotuba ya Trump muda wote huo alikuwa anatafuta la kusema.
You can fool some people but not all.
Niguse uone unatandikwa ngumi halafu unasema hii ngumi haikunisababishia maumivu hivyo sitojibu. lakini si ulisema akikugusa tu atakiona?
Marekani kawa mdebwedo na ataendelea vimbiwa sana ile kauli ya make America great again naona inaanza kuwa make America ....
Ulitaka wakurupuke kukimbilia Mike unadhani ni km akina Humphrey pole pole hao.🤣🤣🤳
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
nimesikia hotuba yote ya Ayatollah hajaongea huu utumbo. labda kama ni tamko la Hezbollah hapo sawa.
 
Vizuri trump... Wengine kelele nyingi nyuma ya kibodi wakati hata nyoka hawezi ua..... Eti anataka vita
 
Imeisha kifara kwa biti la kusema "irani ana bahati hakuua mmarekani". Otherwise angepokea kichapo cha hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tumuamini nani?? Iran anasema ametungua askari wa kimarekani 800 sijui alihesabu mkono mmoja kuwa mtu na mguu mmoja kuwa mtu na kila kiungo kimoja kimoja!! Naamini, kama aliuahata askari 1 tu, Trump lazima awaoneshe wamarekani kuwa, wapo juu. Lazima atahakikisha vile vituo 52 alivyosema atavipiga lazima hiyo itendeke. Ka sivyo, watamwondoa madarakani very very soon
 
Trump ametumia busara kubwa mno maana kaweka wazi kabisa kuwa uwezo wa kumpiga Iran anao...

Ila ameangalia kuhusu ndoto za vijana wa IRAN maana angeipiga Iran kwa namna moja angefanya maisha ya iran kuwa magumu na hili lingepelekea ndoto za vijana wa iran wasio na hatia kufutika...

Hivyo niipongeze Marekani na Rais Donald Trump kuliangalia hili...



Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuangalia ndoto za vijana wa libya,
Je ndoto za vijana na watoto wa iraq?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
After Ayatollah, Rouhani, then Soleiman in ranking of what was the Iran powerful men. Qassem kauwawa, unalipiza Kwa kupiga base walizo Hama, tena Kwa kuwapa Notice kua ntapiga hapa. That was face cover-up ili Iranians na dunia wajue kalipiza lakini alijua anachokifanya.

Something ambacho labda hukijui

Qassem Soleiman anlikua anaaminiwa Sana na Ayatollah na alikua popular Iran yote kiasi kwamba angekuja kumpindua unpopular president Rouhani. Kama unabisha angalia watu walivo uana kwenye mazishi yake. Qassem alikua anapewa misheni ambazo inabidi afe toka muda. Iran kumuua Qassem ingeleta non-stop protesters even hata ku asi government. Sasa kauawa Iraqi, Iran ana retaliate Kwa kupiga base ambazo Kwanza alitoa notice, harafu anajua wanajeshi hawapo,. serious???

Ilibidi Qassem afe na non-Iran involvement attack , ili kuzima protestation iliyopo na kumsingizia USA Kwa kuua kipenzi cha Iranians.


Sasa nani atamuua Soleiman....kuua kiongozi wa juu wa nchi ni assassination na maanayake unatangaza vita. Ili Qassem afe tufanyaje? Tumpe misheni za kuua wamarekani Middle east halafu USA inamuua kama Al-Baghdad

Hii ni win-win situation

USA wanajua wameua terror mkubwa wa muda mrefu, Yes


Iran wanajua tumesacrifice Powerful na popular person ambaye angetishia hata serikali. Yes.

Soleiman alikua anaaminiwa hata na jeshi..unazani kupindua Iran ingekua kazi ngumu kwake?

Ukiona General ni powerful and popular, Una sacrifice misheni ambazo hawezi kuachwa salama

Wangekua wanampenda Soleiman ilibidi awe retired official tayari maana kahudumu mission za middle East muda mrefu sana

Kama kichwa maji mission kama hizi huwezi kuelewa.
 
Ulitaka wakurupuke kukimbilia Mike unadhani ni km akina Humphrey pole pole hao.🤣🤣🤳
Juzi baada tu ya shambulizi mic moja kwa moja na Twitter sasa leo vipi? This time US kapatikana basi tu anajipa moyo Muajemi siyo mtu mzuri hata mimi nillikua namchukulia poa poa lakini sasa amebadiri upepo now amethibitisha kuwa anaweza pambana na jibwa lolote.
Unahisi kwa kilichotokea si nchi nyingine zitamvimbia US?
Yani ni sawa uwe unajulikana we ni baunsa wa mtaa halafu uanzishe ugomvi na mtu ambaye kila mtu alidhani utampiga balaa umpige ngumi akutandike teke la makalio na usijibu uondoke kimya kimya.
 
Hakuangalia ndoto za vijana wa libya,
Je ndoto za vijana na watoto wa iraq?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Kwani USA ilipoivamia Libya Trump ndio alikuwa raisi ???

Kwa taarifa yako tangu trump ameingia madarakani wanajeshi wengi wamepunguzwa Iraq .. Jamaa Sera zake sio Vita ... Nenda kasome vizuri ndugu yangu ...


Libya ilivamiwa chini ya Barack Obama na Hilary Clinton... Iraq ilivamiwa na George Bush ...


Huwa Nasikitika Sana kuona vijana wa Tanzania tunashindwa kujua vitu vidogo hivi vilivyoko Google ... Napata maswali hivi miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa la namna gani .. itakuwa taifa la mazuzu au mang'ombe yasiyojua Geopolitical issues ... Ukikaa na mkenya hata alieishia primary school ana exposure kubwa ya mambo kushinda sisi ... Kama taifa tusipochukua hatua tutatawaliwa tena haki ya mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom