Ila mmekuwa wadogo kama tusunguraIran alishafanya shambulizi la anga kwa kuzilenga hizo military basement ni sawa.
.
Swali alijuaje kaua wanajeshi 80 na kujeruhi 200?
America kasema hakuna aliyeuwa kwani wanajeshi walikuwa aware na chochote.
Jibu swali langu
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.
Kwa hiyo hakuna loss kabisa na wewe ukaamini kabisa? Tukio limetokea zaidi ya masaa 12 kabla ya hotuba ya Trump muda wote huo alikuwa anatafuta la kusema.Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.
Marekani mwenyewe ana wasi wasi. Huwajui Iran wewe.Unaweza kutupa evidence au ni kukalilishwa tu kama madrasa?
Maarifa yako madogo sana..!!Mambo ndoo hayo zipigwe,halafu nashangaa watu wanasema eti mafuta yatapanda wakati hata pikipki hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka wakurupuke kukimbilia Mike unadhani ni km akina Humphrey pole pole hao.🤣🤣🤳Kwa hiyo hakuna loss kabisa na wewe ukaamini kabisa? Tukio limetokea zaidi ya masaa 12 kabla ya hotuba ya Trump muda wote huo alikuwa anatafuta la kusema.
You can fool some people but not all.
Niguse uone unatandikwa ngumi halafu unasema hii ngumi haikunisababishia maumivu hivyo sitojibu. lakini si ulisema akikugusa tu atakiona?
Marekani kawa mdebwedo na ataendelea vimbiwa sana ile kauli ya make America great again naona inaanza kuwa make America ....
nimesikia hotuba yote ya Ayatollah hajaongea huu utumbo. labda kama ni tamko la Hezbollah hapo sawa.Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri sanctions , inflation igonge 200,000% Kama Venezuela.... Unaleta hisia kwenye haya mambo ...Marekani mwenyewe ana wasi wasi. Huwajui Iran wewe.
Sasa tumuamini nani?? Iran anasema ametungua askari wa kimarekani 800 sijui alihesabu mkono mmoja kuwa mtu na mguu mmoja kuwa mtu na kila kiungo kimoja kimoja!! Naamini, kama aliuahata askari 1 tu, Trump lazima awaoneshe wamarekani kuwa, wapo juu. Lazima atahakikisha vile vituo 52 alivyosema atavipiga lazima hiyo itendeke. Ka sivyo, watamwondoa madarakani very very soonImeisha kifara kwa biti la kusema "irani ana bahati hakuua mmarekani". Otherwise angepokea kichapo cha hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuangalia ndoto za vijana wa libya,Trump ametumia busara kubwa mno maana kaweka wazi kabisa kuwa uwezo wa kumpiga Iran anao...
Ila ameangalia kuhusu ndoto za vijana wa IRAN maana angeipiga Iran kwa namna moja angefanya maisha ya iran kuwa magumu na hili lingepelekea ndoto za vijana wa iran wasio na hatia kufutika...
Hivyo niipongeze Marekani na Rais Donald Trump kuliangalia hili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Enzi hizo rais alikua Trump??Hakuangalia ndoto za vijana wa libya,
Je ndoto za vijana na watoto wa iraq?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi baada tu ya shambulizi mic moja kwa moja na Twitter sasa leo vipi? This time US kapatikana basi tu anajipa moyo Muajemi siyo mtu mzuri hata mimi nillikua namchukulia poa poa lakini sasa amebadiri upepo now amethibitisha kuwa anaweza pambana na jibwa lolote.Ulitaka wakurupuke kukimbilia Mike unadhani ni km akina Humphrey pole pole hao.🤣🤣🤳
Hahaha Kwani USA ilipoivamia Libya Trump ndio alikuwa raisi ???Hakuangalia ndoto za vijana wa libya,
Je ndoto za vijana na watoto wa iraq?
Sent using Jamii Forums mobile app