Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Haya ya kukataza watu wasifanye siasa za kuropoka ulitakiwa kumuusia mwenyekiti wa chama cha lumumba
 
Tangu mwanzo kabla ya hii report nilibashiri kua iran wanacheza na majukwaa

Inakera sana umenunua jibwa kwa pesa ndefu kama mlinzi lenye mafunzo ya kijeshi halafu unakuta linabweka huku limefyata mkia nakurudi nyuma
Hata trump anacheza na majukwaa. Unafikiri Trump anaweza kukuambia ukweli ili aonekane ni dhaifu? Hujiulizi kwa nini kambi kombora zimeweza kupiga? Mifumo yao ya THAAD ilikua wapi leo hadi kombora zimeweza kupenetrate na kupiga kambi zao zenye kila aina ya ulinzi?
Funzo ni kuwa,ikitokea vita kila side lazima itaathirika,kila side watakufa,hakuna ulinzi usiowezwa kupigwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo lao lilkua kuzipiga kambi nawamefanikiwa kwa 100% Kama Wangekua Off Target Leo Hii Trumpet Asingefanya Press...The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
Press ilikua kwa ajili ya kuwa-inform amarica na ulimwengu kiujumla kuhusu uhuni wa iran

Kabla ya kununua silaha walitakiwa kujifunza shabaha kwanza
 
Kwani mbwa akibweka bila kung'ata kuna madhara?
Haina nguvu tena wakati katoka kufanya kitu ambacho hakijawahi fanywa na nchi yoyote kwa kushambulia kambi za US halafu akawambia ni mimi? Funny
Vikwazo vya kiuchumi havijaanza leo na Iran bado ipo na inazidi kuwa na nguvu.
Bwana Trump amepewa majibu ambayo hakuyategemea, yani wazee hawakusubiri hata week ipite hata kabla hajamaliza vizuri piga mkwara nukes hizo boom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump kaua askari mmoja, Iran wametwanga base mbili kibabe

Askari wa marekani wana bahati walikimbia kambi mapema, wangechelewa tu wangekufa kama sisimizi. Waoga kweli hao jamaa
 
Beira Baby Boy ukiandika andiko kama hili 2alau weka facts mbili tatu. Japo naunga mkono hoja lakini hujaandika kwa hoja umeandika kwa mihemko alafu mambo haya hayatakagi mihemko.
Siyo mihemuko mkuu

Unajua watu wengi wanazan USA ni taifa lenye nguvu ukweli kwamba nguvu ya USA iko mdomon zaid na kwa nchi changa kama tz na Uganda lakin siyo kwa mabeberu wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala haihitaji utaalamu, mzee alikuwa akitoa sauti flani sio nzuri
Wataalam wa sauti wamesema kuwa wakati Trump anaongea kuhusu suala la Iran leo alikuwa akitetemeka.

Yaani sauti yake ilikuwa inatetemeka. Je Trump ashaanza kuwa muoga na kuwa na heshima. Je Trump amejifunza kitu kutoka Iran leo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata trump anacheza na majukwaa. Unafikiri Trump anaweza kukuambia ukweli ili aonekane ni dhaifu? Hujiulizi kwa nini kambi kombora zimeweza kupiga? Mifumo yao ya THAAD ilikua wapi leo hadi kombora zimeweza kupenetrate na kupiga kambi zao zenye kila aina ya ulinzi?
Funzo ni kuwa,ikitokea vita kila side lazima itaathirika,kila side watakufa,hakuna ulinzi usiowezwa kupigwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hitaji miwani kujua nani mnene kati ya JB na barnaba?

Kuna hitaji elimu gani kujua iran na marekani nani ananguvu?

Sikufichi tukiondoa mapenzi hata sisi hapa tukiliweka kati jwtz nakwambia iran hatoki
 
After Ayatollah, Rouhani, then Soleiman in ranking of what was the Iran powerful men. Qassem kauwawa, unalipiza Kwa kupiga base walizo Hama, tena Kwa kuwapa Notice kua ntapiga hapa. That was face cover-up ili Iranians na dunia wajue kalipiza lakini alijua anachokifanya.

Something ambacho labda hukijui

Qassem Soleiman anlikua anaaminiwa Sana na Ayatollah na alikua popular Iran yote kiasi kwamba angekuja kumpindua unpopular president Rouhani. Kama unabisha angalia watu walivo uana kwenye mazishi yake. Qassem alikua anapewa misheni ambazo inabidi afe toka muda. Iran kumuua Qassem ingeleta non-stop protesters even hata ku asi government. Sasa kauawa Iraqi, Iran ana retaliate Kwa kupiga base ambazo Kwanza alitoa notice, harafu anajua wanajeshi hawapo,. serious???

Ilibidi Qassem afe na non-Iran involvement attack , ili kuzima protestation iliyopo na kumsingizia USA Kwa kuua kipenzi cha Iranians.


Sasa nani atamuua Soleiman....kuua kiongozi wa juu wa nchi ni assassination na maanayake unatangaza vita. Ili Qassem afe tufanyaje? Tumpe misheni za kuua wamarekani Middle east halafu USA inamuua kama Al-Baghdad

Hii ni win-win situation

USA wanajua wameua terror mkubwa wa muda mrefu, Yes


Iran wanajua tumesacrifice Powerful na popular person ambaye angetishia hata serikali. Yes.

Soleiman alikua anaaminiwa hata na jeshi..unazani kupindua Iran ingekua kazi ngumu kwake?

Ukiona General ni powerful and popular, Una sacrifice misheni ambazo hawezi kuachwa salama

Wangekua wanampenda Soleiman ilibidi awe retired official tayari maana kahudumu mission za middle East muda mrefu sana

Kama kichwa maji mission kama hizi huwezi kuelewa.
Achen story hayo madege jana na juzi alikuwa anayasomba ya kazi gan kuyapeleka mashariki ya kati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom