Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
🤣Naona Ramaphosa kiti hakikaliki
Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Sasa kwa nini wanaenda kumwona huku wakijua alivyo?Alimshtukiza Zelesnky alifanikiwa na nini!? Huyo kwenye usuluhishi bado, mgogoro wa Russia na Ukraine bado anahaha tu.
Shida wanajilimbikizia mali, ndio maana kule wanaoneka manyani tu.Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Afrika inahitaji viongozi kama Ibrahim Traore !Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.
Hatabiriki huyo na hafuati protokali.
Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.
Kama anatetemeka vile! Kuongea na raisi wa dunia sio mchezo🤣
Na mdomo umemkauka anajifuta futa na mkono.
Hata yeye ni mpumbavu na muongo muongo, rejea ahadi yake ya kumaliza vita ya Ukraine.Sasa kwa nini wanaenda kumwona huku wakijua alivyo?
Wapumbavu wakubwa hao.
Huyo fala naye hana lolote. Kafanya nini cha maana huko Burkina Faso?A
Afrika inahitaji viongozi kama Ibrahim Traore !
Kuwa na utajiri ni jambo moja na kuwa na akili ya kuutumia ni jambo jingine. Wafrika tumechagua kuponda raha na kusubiri wengine watusaidie. Hata bandari tuliyowekewa ambayo gharama yake ni kujenga tu na kusubiri fedha ziingie tunasema hatuwezi kuiendesha. Unanunua dege kubwa la watu mia tatu halafu rais analichukuwa anapakia wasanii uchwara wanakwenda kuponda fedha nje ya nchi....Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Ndiyo, ni muongo muongo na anajulikana.Hata yeye ni mpumbavu na muongo muongo, rejea ahadi yake ya kumaliza vita ya Ukraine.
Yup…..anaonekana yupo nervous.Kama anatetemeka vile! Kuongea na raisi wa dunia sio mchezo