Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

Nimemwones huruma aisee.

Sioni kabisa haja ya marais kwenda kumwona mtu kama Trump hapo ofisini kwake.

Hata waziri mkuu wa Canada alipoenda naye aliishia kuwa mdogo tu.

Unajua Trump ana utisho flani kwa wenzie. Sijui ni nini. Ni personality flan anayo ambayo wenzie huwa wanaji feel wadogo. Jamaa ni mbabe in short. Na he doesnt care si mwana diplomasia mzuri. Anajali maslahi zaidi. Ushungi ndo asijaribu maana hata kumwelewa hatomwelewa na uwezo wa kujieleza ndo hana kabisa. Trump ataanza mdharau mapema sana maana kichwani.... 0.
 
Julius Malema alimwambia Ramaphosa asiende huko US atadhalilishwa tu.

I am not a Malema fan, but he was right in this instance.
Kauli za Julius Malema dhidi ya makaburu [I hope that’s not an offensive word] haziteteeki na zinaiakisi vibaya Afrika Kusini.

Ila Ramaphosa naye huenda ana naivety kwa kiasi fulani.

Anajua kabisa kuwa nchini mwake kuna wanasiasa wenye misimamo iliyo genocidal na kuna matukio mengi mabaya dhidi ya wazungu walio wachache nchini humo.

Anaenda kufanya nini ofisini kwa Trump huku akijua Trump ni mtu asiyetabirika na ambaye hana diplomasia?

Kastahili yaliyomkuta.
 
Upinzani pelekeni videos za mauji mnayofanyia na ccm kwa Trump, mnafeli wapi? Kila siku mnapigwa na watu wanapotea , chukueni evidence zote , waafrika viongozi huwa hawaelewi hadi wakiajibishwa.
 
Nimecheka sana aisee.

Trump kichaa yule.

Kazicheza video za Malema akiimba nyimbo za kuwaua makaburu na Ramaphosa kabaki kaduwaa tu.

Trump is something else.
Wanachojisahaurisha watu kuhusu Trump ni kwamba the guy is a New Yorker.
Ramaphosa alijifanya kuvimba, hadi rais wa commision ya Ulaya naye akaenda kumpa backup kwamba wanaimarisha mahusiano ya kiuchumi na SA, lakini hakuona nafuu akaanza kumbembeleza Elon amfanyie apoointment , lakini Elon akakaza.

Waafrika wanajazana maujinga ujunga tu wakidhani wana nafasi yoyote ya kumvimbia yeyote.

Wamekaa vikao vingi na virefu kumaliza vita ya Goma, hawakuwahi kufikia hata robo ya makubaliano, amri moja bila hata kikao kutoka White house tena hata haijatolewa na Trump ilitosha kusimamisha vita ile.

Halafu watu wanajipa Moyo kijinga tu, sasa wamepapasa wamejishikilia kwa yule dogo wa Burkina Fasso wanampamba kwa sifa za kipuuzo kabisa ambazo hata hazipo. Na yeye muda si mrefu watakuja kustuka amekaa kuume kwa Trump na sidhani kama wanafikiria hata kumpa hiyo nafasi ingawa najua ataanza kuiomba muda si mrefu.
 
Kauli za Julius Malema dhidi ya makaburu [I hope that’s not an offensive word] haziteteeki na zinaiakisi vibaya Afrika Kusini.

Ila Ramaphosa naye huenda ana naivety kwa kiasi fulani.

Anajua kabisa kuwa nchini mwake kuna wanasiasa wenye misimamo iliyo genocidal na kuna matukio mengi mabaya dhidi ya wazungu walio wachache nchini humo.

Anaenda kufanya nini ofisini kwa Trump huku akijua Trump ni mtu asiyetabirika na ambaye hana diplomasia?

Kastahili yaliyomkuta.
SA wanategemea biashara ya madini na USA na toka wamekata kupeleka aina yeyote ya madini yanayotoka SA kwenda USA hela yao imekua inaporomoka kila kukicha hiyo juzi baada ya kutangaza kuwa aatakutana na Trump rand imekua na nguvu against usd hata leo imeongezeka kidogo hao wanaenda ili kulinda biashara za Nchi yao na USA maana makampuni makubwa yanayochimba madini mengi ni ya kutoka kwa Trump ukiwa nje unaweza kuongea unavyotaka hata bisahara ya Ford imeshuka gari za China ndio zinapanda kwa kasi..
 
Hahahaaa.

Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?

Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.

Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.

Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."

View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955

Hapo kampa kaelimu kidogo kwamba kabla hujapambana na nje pambana ndani kwanza
 
😆😆😆 huyu mzee nikimuangaliaga huwa nacheka tu. Yaani yeye ndo Rais wa marais wote, ukiingia 18 zake tu hakuachi anakupiga hardtalks na anajua huna la kumfanya.
Kuna mmoja 🧕 ikiingia kwenye kikaango chake mbona atasema vyote, sababu huyo fala akisikia kuna ujio wako anadownload file lako looote (especially dark one) halafu anakuweka kati
 
Upinzani pelekeni videos za mauji mnayofanyia na ccm kwa Trump, mnafeli wapi? Kila siku mnapigwa na watu wanapotea , chukueni evidence zote , waafrika viongozi huwa hawaelewi hadi wakiajibishwa.
Siku Bi. Ushungi akienda Oval Office naamini Trump atazicheza video za wapinzani kukamatwa na kupigwa.
 
😆😆😆 huyu mzee nikimuangaliaga huwa nacheka tu. Yaani yeye ndo Rais wa marais wote, ukiingia 18 zake tu hakuachi anakupiga hardtalks na anajua huna la kumfanya.
Kuna mmoja 🧕 ikiingia kwenye kikaango chake mbona atasema vyote, sababu huyo fala akisikia kuna ujio wako anadownload file lako looote (especially dark one) halafu anakuweka kati
Trump mtambo yule. Hana cha protokali wala diplomasia.

Waliompatia mpaka sasa ni wale Waarabu tu.

Wale wanajua namna ya ku deal naye.
 
😆😆😆 huyu mzee nikimuangaliaga huwa nacheka tu. Yaani yeye ndo Rais wa marais wote, ukiingia 18 zake tu hakuachi anakupiga hardtalks na anajua huna la kumfanya.
Kuna mmoja 🧕 ikiingia kwenye kikaango chake mbona atasema vyote, sababu huyo fala akisikia kuna ujio wako anadownload file lako looote (especially dark one) halafu anakuweka kati
Ramaphosa kataka ujiko kwamba nchi yake na SADC wamefanya jitihada kusuluhisha mgogoro wa Congo, Trum akageuka kumuangalia msaidizi wake na kusema tuna watu wetu kule tumepeleka ndiyo wameshughulikia hilo.
 
Hahahaaa.

Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?

Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.

Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.

Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."

View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955

Teh teh 😃 Trump amegeuka mbogo alivyoulizwa kuhusu zawadi ya ndege kutoka Qatar.

Hizo video za chama cha Julius Malema (EFF) ndio Trump anazitumia kama ushahidi...

Yoda Drifter
 
Wanachojisahaurisha watu kuhusu Trump ni kwamba the guy is a New Yorker.
Ramaphosa alijifanya kuvimba, hadi rais wa commision ya Ulaya naye akaenda kumpa backup kwamba wanaimarisha mahusiano ya kiuchumi na SA, lakini hakuona nafuu akaanza kumbembeleza Elon amfanyie apoointment , lakini Elon akakaza.

Waafrika wanajazana maujinga ujunga tu wakidhani wana nafasi yoyote ya kumvimbia yeyote.

Wamekaa vikao vingi na virefu kumaliza vita ya Goma, hawakuwahi kufikia hata robo ya makubaliano, amri moja bila hata kikao kutoka White house tena hata haijatolewa na Trump ilitosha kusimamisha vita ile.

Halafu watu wanajipa Moyo kijinga tu, sasa wamepapasa wamejishikilia kwa yule dogo wa Burkina Fasso wanampamba kwa sifa za kipuuzo kabisa ambazo hata hazipo. Na yeye muda si mrefu watakuja kustuka amekaa kuume kwa Trump na sidhani kama wanafikiria hata kumpa hiyo nafasi ingawa najua ataanza kuiomba muda si mrefu.
😂😂😂
 
Teh teh 😃 Trump amegeuka mbogo alivyoulizwa kuhusu zawadi ya ndege kutoka Qatar.

Hizo video za chama cha Julius Malema (EFF) ndio Trump anazitumia kama ushahidi...

Yoda Drifter
Ramaphosa kilaza kweli, sitaki kuamini kwamba hakutegemea kuulizwa habari za Julius Malema.
 
Nimemwones huruma aisee.

Sioni kabisa haja ya marais kwenda kumwona mtu kama Trump hapo ofisini kwake.

Hata waziri mkuu wa Canada alipoenda naye aliishia kuwa mdogo tu.
Xi, Putin & Kim will certainly make a difference.

Trump huwa hana ujanja kabisa kwa hiyo miamba ingawa haina mpango kabisa wa kuonekana Oval Office.

Bila shaka Trump pia ana show respect hata kwa watu kama Orban na Lukashenko.
 
Hahahaaa.

Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?

Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.

Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.

Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."

View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955

Kumbe claims zenyewe sio 100% za kweli. Unajua tena Trump anavyojua kupaa na conspiracy theories!

Trump ambushes South Africa's president with false claims of 'white genocide' — NPR
 
Oh yeah, Trump huwa anaropoka tu.

Mara nyingi sana huwa anakuza mambo na kuongeza chumvi.

South Africa hakuna genocide. Ila kuna watu wanaoleta chokochoko za Maneno ya uhalifu dhidi ya wazungu.

Pia, uhalifu dhidi ya wazungu upo, wa hapa na pale, lakini si genocide.

Sasa Trump si mtu wa kufanya due diligence. Yeye anachosikia na kuambiwa, hata kiwe cha uongo, ndo atachoenda nacho.
 
Back
Top Bottom