Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

Ndiyo, ni muongo muongo na anajulikana.

Viongozi wa Kiafrika pamoja na kuyajua yote hayo wanaenda kufanya nini huko?

Hawana self respect?
Kwani wanajiendea kama wanaenda chooni kisa wamebanwa na haja au ni makubaliano???
 
Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.

Hatabiriki huyo na hafuati protokali.

Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.
Hana BAYA mama yetu, akienda pale huenda Trump akaishiwa maneno akaishi kusifia ujenzi wa SGR pamoja na royal tour.
 
You never know. Kila shetani na mbuyu wake. Kungu manga linaweza likafanya mambo. Macho malegevu ya kurembua yakamtuliza Trump..
 
Hana BAYA mama yetu, akienda pale huenda Trump akaishiwa maneno akaishi kusifia ujenzi wa SGR pamoja na royal tour.
Na yule Bw. Piraa [Peter] sijui naye atakuwepo 🤣🤣.
 
Am Donald Trump, and I approve this message
 
Hata hivyo anajitahidi, pale oval office chini ya Trump hata akiingia kiongozi wa ujerumani au nchi nyinvine yoyote kubwa lazima awe anahaha kimoyo moyo
 
Ni kweli.

Ndo maana sioni sababu kwa nini wanaenda.
 
Hahahaaa.

Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?

Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.

Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.

Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
Umeniwahi, nimekuja kufungua uzi nakutana na uzi wako.
Title ya uzi wangu ilikuwa iwe

"Ramaphosa ajikuta amekaa kuume kwa Trump"

Baada ya kauli zake za 'kishujaa' na kuahidi kuitosa Marekani na kukata kufanya nayo biashara na kushangiliwa na waafrika wenzakenarais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa ameondoka Afrika kimya kimya bila kuaga na kuishangaza dunia akiwa ndani ya Oval Office akiwa amekaa kuume kwa rais Trump

View: https://www.facebook.com/share/v/15pBRgzFBf/
 
Nimecheka sana aisee.

Trump kichaa yule.

Kazicheza video za Malema akiimba nyimbo za kuwaua makaburu na Ramaphosa kabaki kaduwaa tu.

Trump is something else.
 
Hahahaaa.

Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?

Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.

Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.

Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."

View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955

Na RAmaphosa ni Rais kilaza sana wa Afrika Kusini. Alijifanya ana msimamo kumbe bwege tu. Trump kampatia sana huyo mnafiki.
 
Julius Malema alimwambia Ramaphosa asiende huko US atadhalilishwa tu.

I am not a Malema fan, but he was right in this instance.
 
Na RAmaphosa ni Rais kilaza sana wa Afrika Kusini. Alijifanya ana msimamo kumbe bwege tu. Trump kampatia sana huyo mnafiki.
Nimemwones huruma aisee.

Sioni kabisa haja ya marais kwenda kumwona mtu kama Trump hapo ofisini kwake.

Hata waziri mkuu wa Canada alipoenda naye aliishia kuwa mdogo tu.
 
Back
Top Bottom