Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo.

Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo ambayo inategemea ruzuku ndio inunulike?

Trump amasema umeme wa upepo kwanza ni ghali kiuchumi lakini pia unajaribu mazingira. Trump anasema wind farms ama mitambo ya ujenzi wa umeme wa upepo ni takataka.

Sasa, sisi huku Tanzania na nchi masikini tumekua tukilazimishwa kuhamia kwenye renewable energy hasa upepo na jua. Tukiambiwa hizi ndio hazichafui mazingira, ni rahisi, ni nzuri kwa mazingira. Hao wanaotaka tuhamie kwenye renewable energy kuzalisha umeme wanasema tuachane na majii ama hydro, twende kwenye gesi ama jua ama upepo, hawataki tuwekeze kwenye nuclear ama makaa ya mawe kwamba ni uchafuzi wa mazingira. Sasa Trump amewaumbua kwamba upepo ni uchafuzi wa mazingira na ni ghali sana.

Nchi masikini tunatakiwa kujiuliza, kama nchi kama Marekani inakataa umeme wa Upepo, sisi Tanzania tunautaka ili iweje? Serikali ijiulize mara mbili mbili kabla haijaingia mkenge wa utapeli wa umeme wa upepo.

Soma hapa chini kutoka New York Times.

Trump Promises to End New Wind Farms​

Wind energy is one of the fastest growing and cheapest forms of electricity in the United States. The president-elect calls it “garbage.

The South Fork Wind Farm off the Montauk coast in New York. Credit...Joe Buglewicz for The New York Times
Lisa FriedmanBrad Plumer
President-elect Donald J. Trump said on Tuesday that “no new windmills” would be built in the United States when he takes office, a direct rebuke of the Biden administration, which has approved 11 commercial-scale offshore wind projects.
In a meandering news conference, Mr. Trump angrily attacked President Biden’s decision this week to ban oil drilling off most of the U.S. coast and criticized federal spending on clean energy as throwing money “right out the window.”
But he saved some of his sharpest words for wind turbines, huffing new life into false claims he has made over the years about wind, an energy source he has bashed ever since he unsuccessfully tried to stop an offshore wind farm from being built in view of one of his Scottish golf courses. Mr. Trump insisted that wind farms “obviously” kill whales, although scientists have said there is no evidence to support that, and he said turbines “litter” the country and are like “garbage in a field.”
“We are going to have a policy where no windmills are being built,” Mr. Trump said.
Mr. Trump’s pronouncement may surprise leaders in some states — including Republican-led Wyoming, Iowa and Texas — where wind energy has rapidly expanded in recent years. Those states are typically larger, with more open space, and many are in the gusty middle of the country with some of the best potential for wind energy on the planet. In 2023, wind farms accounted for 22 percent of the electricity generated in Texas and 59 percent of the power produced in Iowa.
Advertisement

According to the Department of Energy, wind power is one of the fastest-growing and lowest-cost sources of electricity in the United States. It accounted for 22 percent of new installed electricity capacity in 2022, an amount the agency said represented $12 billion in capital investment. The industry employs more than 125,000 workers.
“The No. 1 state for wind energy is Texas, and it has been for two and a half decades, so this is a bipartisan energy source,” said Leah Stokes, a political scientist at the University of California, Santa Barbara.
“The fact is that wind energy is cheap and clean American-made power,” Dr. Stokes said. She said data shows wind farms also can be built faster than gas plants. “If we’re going to have energy shortages because of things like A.I. and data centers, why wouldn’t we try to build cheap, clean and fast power?” she said.

As president, Mr. Trump would not be able to control what is built on private land. He would have influence, but not absolute authority, over whether wind power can be produced on federal lands and waters. If the government has already issued leases for wind farms, then legally, companies must be issued permits if they choose to move forward with projects.
Image
President-elect Donald J. Trump, dressed in a navy suit, white shirt and purple tie, gestures at a podium in front of an American flag.

President-elect Donald J. Trump spoke at his Mar-a-Lago Club in Palm Springs, Fla., on Tuesday.Credit...Doug Mills/The New York Times
Jason Grumet, the chief executive of the American Clean Power Association, which represents renewable energy companies, criticized both Mr. Trump and Mr. Biden.

“Whether it’s withdrawing offshore oil and gas resources from development or threatening policies that harm wind energy, American presidents shouldn’t be taking American resources away from the American people,” Mr. Grumet said.
To date, companies in the United States have built more than 153 gigawatts of wind power capacity, with more than two-thirds of that in states carried by Mr. Trump in the November election, including Texas, Oklahoma, Kansas, South Dakota and Indiana.
An additional 24 gigawatts worth of wind farms is currently under development, with major projects planned for Wyoming, Montana, North Dakota, Oklahoma and Texas, according to the American Clean Power Association.
Still, the wind industry has faced a backlash from rural communities worried about disruptions from new turbines the size of skyscrapers. More than 400 counties have imposed local restrictions or bans on wind turbines to date, including much of Tennessee and Kentucky. And the pace of U.S. wind installations has slowed in recent years as developers faced difficulty in securing connections to the electric grid and delays in getting government approvals for new projects.

Mr. Trump also said that electricity produced by wind turbines was more expensive than generating power from gas. Direct cost comparisons can be difficult. Even without federal subsidies, it is often cheaper to build a wind farm to generate electricity than it is to build a combined-cycle gas turbine and produce the same amount of power, according to data from Lazard, an investment firm.
However, the wind farm may require costly long-distance transmission lines and needs to be backed up by other sources, since the wind blows intermittently. By contrast, a gas plant can run on demand. In recent years, many electric utilities have concluded that it’s most cost-effective to build a mix of resources: wind, solar as well as gas.
 
Bado inahitaji kupata data binafsi:
Wakati rais mteule anatoa wito husika, anapingwa na maelezo ya wataalamu wa eneo husika.

Pia, tutambue kuna mambo mengi ya kuhusisha kwa kadri ya somo hapo juu. Ujenzi wa vituo husika si hauna gharama kubwa bali shida au gharama ni ujenzi wa transmission line kulingana na mradi ulipo.

Utambuzi huru wa gharama halisi, mazingira ulipo, kiasi cha athari mbalimbali kutokana na vyanzo ulivyonavyo dhidi ya vile vya upepo na uhitaji ni muhimu kuliko maneno ya jumlajumla.
 
Trump yuko.sahihi miradi ya wind mills ni ya mafisadi kule Marekani waliianxisha kuchota pesa serikalini kupitia ruzuku

Hebu fikiria miradi ya watu binafsi halafu seriksli inawapa pesa bure ili wazalishe.umeme.wa upepo wakizalisha.pesa wanazolipwa na watumia umeme zinaingia.mifukoni.

Trump.kaona amalize hao mafisadi
 
Mkuu umetumia Chat GPT kuandika hili ama? Mbona kama ni akili mnemba hapa?
 
Trump yuko.sahihi miradi ya wind mills ni ya mafisadi kule Marekani waliianxisha kuchota pesa serikalini kupitia ruzuku

Hebu fikiria miradi ya watu binafsi halafu seriksli inawapa pesa bure ili wazalishe.umeme.wa upepo wakizalisha.pesa wanazolipwa na watumia umeme zinaingia.mifukoni.

Trump.kaona amalize hao mafisadi
Miradi ya renewable energy ni ya kitapeli.

Jamaa unakuta wanakomaa usiwekeze kwenye coal ama hydro ili uwekeze kwenye huo utapeli wao wa wind farm.
 
Makala hii inaibua hoja kadhaa muhimu kuhusu mjadala wa nishati ya upepo na msimamo wa Rais mteule Trump juu ya suala hilo. Hata hivyo, kuna maeneo kadhaa yanayoweza kukosolewa:

  1. Upendeleo na Lahaja: Makala inaonekana kuwa na mtazamo wa ukosoaji dhidi ya Trump, ikitumia maneno kama "mkutano wa habari usioeleweka" na "kufufua madai ya uongo." Ingawa ni muhimu kuwasilisha ukweli, lahaja hii inaweza kuonekana kama ina upendeleo, jambo ambalo linaweza kuwabagua baadhi ya wasomaji.
  2. Ukosefu wa Hoja za Upande wa Pili: Makala inazingatia zaidi faida za nishati ya upepo na ukosoaji wa msimamo wa Trump. Ingekuwa bora zaidi ikiwa ingeweka hoja za upande wa pili au mitazamo ya wale wanaounga mkono msimamo wa Trump, hata kama ni yenye utata.
  3. Ushahidi wa Kisayansi: Makala inataja kwamba wanasayansi wamesema hakuna ushahidi wa kuthibitisha madai ya Trump kwamba mashamba ya upepo yanaua nyangumi. Ingekuwa vyema kutoa tafiti maalum au maoni ya wataalam ili kuunga mkono kauli hiyo na kuongeza uhalali wa hoja.
  4. Athari za Kiuchumi: Ingawa makala inasisitiza faida za kiuchumi za nishati ya upepo, ingeweza pia kujadili athari za kiuchumi za kusimamisha miradi mipya ya upepo, kama vile kupotea kwa ajira au athari kwa uchumi wa maeneo husika.
  5. Athari za Kisera: Makala inataja kwa kifupi kwamba Trump hatakuwa na mamlaka ya moja kwa moja juu ya nishati ya upepo katika ardhi ya binafsi. Ingeweza kuchunguza zaidi athari za kisheria na kisera za hatua anazopendekeza, ili kutoa uelewa mpana wa suala hilo.

Kwa ujumla, ingawa makala inasisitiza faida za nishati ya upepo na inakosoa msimamo wa Trump, ingeweza kufaidika kwa kuwa na mtazamo wa uwiano zaidi, ikijumuisha hoja za upande mwingine na ushahidi wa ziada.
 
Bado inahitaji kupata data binafsi:
Wakati rais mteule anatoa wito husika, anapingwa na maelezo ya wataalamu wa eneo husika.

Pia, tutambue kuna mambo mengi ya kuhusisha kwa kadri ya somo hapo juu. Ujenzi wa vituo husika si hauna gharama kubwa bali shida au gharama ni ujenzi wa transmission line kulingana na mradi ulipo.

Utambuzi huru wa gharama halisi, mazingira ulipo, kiasi cha athari mbalimbali kutokana na vyanzo ulivyonavyo dhidi ya vile vya upepo na uhitaji ni muhimu kuliko maneno ya jumlajumla.
Niliwahi ona documentary fulani miaka 3 nyumba ikiwa inaelezea hili hili suala la umeme wa upepo kuwa liko kisiasa zaidi na kwamba zile turbines ni ghali sana kuzitengeneza na kwamba wala hazisaidii mazingira wakawa wanachambua nishati na hewa chafu inayotumika kutengeneza turbine moja na uchafuzi unaozalishwa.
Pia wakaenda mbali zaidi wakatoa data ya ndege wanaokufa kila mwaka kutoka na hayo hizo pangaboi.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Makala hii inaibua hoja kadhaa muhimu kuhusu mjadala wa nishati ya upepo na msimamo wa Rais mteule Trump juu ya suala hilo. Hata hivyo, kuna maeneo kadhaa yanayoweza kukosolewa:

  1. Upendeleo na Lahaja: Makala inaonekana kuwa na mtazamo wa ukosoaji dhidi ya Trump, ikitumia maneno kama "mkutano wa habari usioeleweka" na "kufufua madai ya uongo." Ingawa ni muhimu kuwasilisha ukweli, lahaja hii inaweza kuonekana kama ina upendeleo, jambo ambalo linaweza kuwabagua baadhi ya wasomaji.
  2. Ukosefu wa Hoja za Upande wa Pili: Makala inazingatia zaidi faida za nishati ya upepo na ukosoaji wa msimamo wa Trump. Ingekuwa bora zaidi ikiwa ingeweka hoja za upande wa pili au mitazamo ya wale wanaounga mkono msimamo wa Trump, hata kama ni yenye utata.
  3. Ushahidi wa Kisayansi: Makala inataja kwamba wanasayansi wamesema hakuna ushahidi wa kuthibitisha madai ya Trump kwamba mashamba ya upepo yanaua nyangumi. Ingekuwa vyema kutoa tafiti maalum au maoni ya wataalam ili kuunga mkono kauli hiyo na kuongeza uhalali wa hoja.
  4. Athari za Kiuchumi: Ingawa makala inasisitiza faida za kiuchumi za nishati ya upepo, ingeweza pia kujadili athari za kiuchumi za kusimamisha miradi mipya ya upepo, kama vile kupotea kwa ajira au athari kwa uchumi wa maeneo husika.
  5. Athari za Kisera: Makala inataja kwa kifupi kwamba Trump hatakuwa na mamlaka ya moja kwa moja juu ya nishati ya upepo katika ardhi ya binafsi. Ingeweza kuchunguza zaidi athari za kisheria na kisera za hatua anazopendekeza, ili kutoa uelewa mpana wa suala hilo.

Kwa ujumla, ingawa makala inasisitiza faida za nishati ya upepo na inakosoa msimamo wa Trump, ingeweza kufaidika kwa kuwa na mtazamo wa uwiano zaidi, ikijumuisha hoja za upande mwingine na ushahidi wa ziada.

Uchambuzi mzuri wenye uwiano na mantiki halisia.
 
Niliwahi ona documentary fulani miaka 3 nyumba ikiwa inaelezea hili hili suala la umeme wa upepo kuwa liko kisiasa zaidi na kwamba zile turbines ni ghali sana kuzitengeneza na kwamba wala hazisaidii mazingira wakawa wanachambua nishati na hewa chafu inayotumika kutengeneza turbine moja na uchafuzi unaozalishwa.
Pia wakaenda mbali zaidi wakatoa data ya ndege wanaokufa kila mwaka kutoka na hayo hizo pangaboi.

Ughali wa turbines, uharibifu wa mazingira na matokeo ya kiuchumi ni muhimu kuyasema ukilinganisha na mfumo mwingine wa uzalishaji na kwa eneo husika. Pia ni vyema kuzingatia chimbuko na interest/matamanio ya watoa mada husika. Hivyo mjadara huru ni muhimu kuemdelea kwa uchumi endelevu unaolinda mazingira na vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom