Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

Hakuna Cha kigogo,mange wala mbweha yeyote yule atakae ongea hata wale wa peoples husikii kabisa

Sera ya democracy ilikuja kudhoofisha mataifa mengne yasikuwe kiuchumi
Ni mbnu zai toka kitambo na huo mfumo wa vyama vingi na kutumia democracy kama fimbo ya kudhoofisha Uchumi,

Hebu jiulize mfumo wa vyama vingi kwao upo? Au wao wana vyama viwili tu? Sijawai sikia Usa wana chama tofauti na viwili.
 
Ghasia siyo maandamano ya amani.

National Guard wamekuwa activated kwenda kutuliza ghasia na kulinda mali za watu wa rangi zote.

Hawajawa activated kwenda kuua watu!
Acheni uzushi.
Kwa hili umekuwa sahihi tangu siku ya kwanza, achana na hao wanaoshabikia ili kutetea ukatili wa polisi wao.
 
Ni mbnu zai toka kitambo na huo mfumo wa vyama vingi na kutumia democracy kama fimbo ya kudhoofisha Uchumi,

Hebu jiulize mfumo wa vyama vingi kwao upo? Au wao wana vyama viwili tu? Sijawai sikia Usa wana chama tofauti na viwili tu.
Kudhani USA ina vyama viwili tu vya siasa huo ni umbumbumbu wako. Usitulazimishe wote tujumuike na wewe unayejipotosha kwa faida ya bk.7.
 
Kudhani USA ina vyama viwili tu vya siasa huo ni umbumbumbu wako. Usitulazimishe wote tujumuike na wewe unayejipotosha kwa faida ya bk.7.
Mkuu hapa hatujaja kutukanana bali nimehangia nachokijua na kusema jambo au unielekeze na sio kuto matusi mkuu, binafsi sijapenda kauli zako sijakutusi,Hekima nayo ni kitu cha msingi haya niambie hivyo vyama zaidi vya Usa na unipe source

Na unapoongelea elfu 7 labda huwa unanipa wewe mkuu ndo kwanza nimesikia kwako unless umekuja kutoa stress jf, pengine unategemewa kuwa Baba au tayari una Familia lakini hekima yako ni changamoto pole sana mkuu. Bila bila
 
Polisi wa US wanawazingua mpaka waandishi wahabari achana na wa CNN wengi tu yani! Mpaka wa DW yaani ubabe ubabe tu! Polisi wa Hong Kong ni more civilized kuliko wa US.
 
Sana mkuu. USA wanajifanya watu wa demokrasi sana sasa inakuaje wanatumia Jeshi. Sisi tukitumia Jeshi kelele nyingi sanaaaa!!
Hong Kong alipiga kelele sana kuwa wanapigania uhuru, domkrasia mikononi mwa China! Yeye kwake vituko! Hii dunia bhana!
 
Kuna wapumbavu humu wanaona ghasia ndo demokrasia.
Siyo kwamba hawajui tofauti, ila wanataka kutumia maandamano haya yenye dalili zote za uvunjifu wa sheria kuhalalisha ukatili wa kidikteta wa serikali yao. Leo wapinga maandamano ya amani wamegeuka watetezi wa maandamano ya vurugu, huoni maajabu hapo?
 
Nimependa hapo aliposema "wengi watakamatwa" kibongobongo wengi wanged......
 
Sana mkuu. USA wanajifanya watu wa demokrasi sana sasa inakuaje wanatumia Jeshi. Sisi tukitumia Jeshi kelele nyingi sanaaaa!!
Don't be nuts.
Issue hapa is maandamano ni ya aina gani?
.
Tanzania hutumika nguvu kwenye maandamano ya kisiasa ambayo hayaharibu mali wala kuvunja amani.
Hili la Minnesota si la kisiasa na watu wanaharibu mali they don't protest they do riots
 
Dah! Hizi movies za US ukiziangalia huwezi kuamini kama kuna watu wa kuvunja maduka ya watu na kuiba mito!
 
Polisi wa US wanawazingua mpaka waandishi wahabari achana na wa CNN wengi tu yani! Mpaka wa DW yaani ubabe ubabe tu! Polisi wa Hong Kong ni more civilized kuliko wa US.
Upuuzi upuuzi upuuzi tu!
America kuna States nyingi huwezi kulinganisha utendaji wa Polisi wa Michigan na hapa Minnesota.
Na wala huwezi kulinganisha utendaji wa NYC na California.
.
Kuna sheria ambazo state moja inazo nyingine haina, yani ungejua Americans wanavyoiona Tanzania yako ni nchi ya aina gani na ukizungumzia mambo yao in a negative way wakati wao ndio lifestyle yao wanavyowadharau hata usingenyanyua madole hayo.
.
Dili na issue za Sithole yako OVER
 
Tim Walz caused all of this mpumbavu yule
 
Mazuri yote tunayoelezwa ya huko US kuanzia aina ya utawala hadi maendeleo inaelekea kuna watu wanavumilia manyanyaso/kukosekana haki na kuishi maisha magumu hali ya kuwa nchi yao Inasifika kwa mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…