Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
wakiacha ubaguzi hata hizo ghasia hazitakaa ziwepo
Trump haja activate National Guard kwenda kuua watu.
Ghasia sio demokrasia.
Acheni uzushi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiacha ubaguzi hata hizo ghasia hazitakaa ziwepo
Ni mbnu zai toka kitambo na huo mfumo wa vyama vingi na kutumia democracy kama fimbo ya kudhoofisha Uchumi,Hakuna Cha kigogo,mange wala mbweha yeyote yule atakae ongea hata wale wa peoples husikii kabisa
Sera ya democracy ilikuja kudhoofisha mataifa mengne yasikuwe kiuchumi
Kwa hili umekuwa sahihi tangu siku ya kwanza, achana na hao wanaoshabikia ili kutetea ukatili wa polisi wao.Ghasia siyo maandamano ya amani.
National Guard wamekuwa activated kwenda kutuliza ghasia na kulinda mali za watu wa rangi zote.
Hawajawa activated kwenda kuua watu!
Acheni uzushi.
Kudhani USA ina vyama viwili tu vya siasa huo ni umbumbumbu wako. Usitulazimishe wote tujumuike na wewe unayejipotosha kwa faida ya bk.7.Ni mbnu zai toka kitambo na huo mfumo wa vyama vingi na kutumia democracy kama fimbo ya kudhoofisha Uchumi,
Hebu jiulize mfumo wa vyama vingi kwao upo? Au wao wana vyama viwili tu? Sijawai sikia Usa wana chama tofauti na viwili tu.
Kwa hili umekuwa sahihi tangu siku ya kwanza, achana na hao wanaoshabikia ili kutetea ukatili wa polisi wao.
Mkuu hapa hatujaja kutukanana bali nimehangia nachokijua na kusema jambo au unielekeze na sio kuto matusi mkuu, binafsi sijapenda kauli zako sijakutusi,Hekima nayo ni kitu cha msingi haya niambie hivyo vyama zaidi vya Usa na unipe sourceKudhani USA ina vyama viwili tu vya siasa huo ni umbumbumbu wako. Usitulazimishe wote tujumuike na wewe unayejipotosha kwa faida ya bk.7.
Uchawi sio lazima utembee usiku kwq ungoHaya maandamano nayo natamani yadumu miezi kama minne hv kama ilivyodumu coronya-19 ili tupate kuheshimiana hapa DUNIANI.....
Hong Kong alipiga kelele sana kuwa wanapigania uhuru, domkrasia mikononi mwa China! Yeye kwake vituko! Hii dunia bhana!Sana mkuu. USA wanajifanya watu wa demokrasi sana sasa inakuaje wanatumia Jeshi. Sisi tukitumia Jeshi kelele nyingi sanaaaa!!
Siyo kwamba hawajui tofauti, ila wanataka kutumia maandamano haya yenye dalili zote za uvunjifu wa sheria kuhalalisha ukatili wa kidikteta wa serikali yao. Leo wapinga maandamano ya amani wamegeuka watetezi wa maandamano ya vurugu, huoni maajabu hapo?Kuna wapumbavu humu wanaona ghasia ndo demokrasia.
Umeandika hii komenti kama raia wa nchi gani na kwa sasa upo nchi gani?Nchi inamshinda Trump
Nimependa hapo aliposema "wengi watakamatwa" kibongobongo wengi wanged......"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump
•
“Asilimia 80 ya waandamanaji wanatokea nje ya Minneapolis, wanaharibu biashara (hasa za Wamarekani weusi wale Wajasiriamali wadogo), wanavunja nyumba, na kuwasumbua wanaotaka amani, hili halikubaliki na sio tu hasira za George, ipo agenda nyingine”- TRUMP
•
“Kuvuka mipaka iliyowekwa na Serikali na kuendeleza vurugu hadi viunga vya Ikulu ni uhalifu, tuliwaambia Magavana na Mameya wafanye kazi yao wameshindwa, tunaingilia kati na tutafanya kinachopaswa kufanywa, tutatumia nguvu kubwa ya Jeshi letu na wengi watakamatwa”- TRUMP
Don't be nuts.Sana mkuu. USA wanajifanya watu wa demokrasi sana sasa inakuaje wanatumia Jeshi. Sisi tukitumia Jeshi kelele nyingi sanaaaa!!
Marekani alikuwa mkoloni wa Tanzania mwaka gani?marekani
Upuuzi upuuzi upuuzi tu!Polisi wa US wanawazingua mpaka waandishi wahabari achana na wa CNN wengi tu yani! Mpaka wa DW yaani ubabe ubabe tu! Polisi wa Hong Kong ni more civilized kuliko wa US.
So unafikiri ni masikini kama Tanzania?Dah! Hizi movies za US ukiziangalia huwezi kuamini kama kuna watu wa kuvunja maduka ya watu na kuiba mito!