Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

Wewe Pimbi jadili kilichopo mezani,bila kuingiza uislamu kwenye kila mada hua muwasho wako hautulii sio?
Unajua ni wangapi wameuawa na westerners just kwa kutoa maoni yao tu?

kwa nini of all the people ayatola khomeini akamtangaia fatwa mjapani na mwishowe mjapani wa watu kuuliwa? japani wana ugomvi gani na muslims ? ...
 
kwa nini of all the people ayatola khomeini akamtangaia fatwa mjapani na mwishowe kuuliwa? japani ana ugomvi na muslims ? ...
Narudia tena,wewe Pimbi jadili kilichopo hapa,
Acha kudivert mjadala kisa Trump kamkoromea huyo Papa wako,

Hiyo issue yako kafungue uzi wako tutakuja kujadili huko,punguza ujinga ili usiendelee kuonekana hamnazo.
 
Narudia tena,wewe Pimbi jadili kilichopo hapa,
Acha kudivert mjadala kisa Trump kamkoromea huyo Papa wako,

Hiyo issue yako kafungue uzi wako tutakuja kujadili huko,punguza ujinga ili usiendelee kuonekana hamnazo.

Narudia tena,wewe Pimbi jadili kilichopo hapa,
Acha kudivert mjadala kisa Trump kamkoromea huyo Papa wako,

Hiyo issue yako kafungue uzi wako tutakuja kujadili huko,punguza ujinga ili usiendelee kuonekana hamnazo.

askari wa ayatola khomeini aliyemchoma kisu cha jicho Rushdie ...
 
Huyu jamaa kama ana kumbukumbu nzuri nilishawahi kumuambia, pigo zake zilivyo za kishamba , akanishushia gazeti nikavunga
Bwashee unajua ukiwa hamnazo unakua hujijui ila watu wengine ndio wanakujua,

Huyu amekua akiharibu mijadala humu JF kwa kuingiza udini kwenye kila uzi,
Nashangaa Moderator kua watazamaji tu! hua ana divert mijadala makusudi kwa kuingiza chuki zake za udini.
 
Allen Kilewella , umeona nilichokua nakueleza mkuu?
 
Hili lilitarajiwa, yoyote yule anae opose mashambulio hayo, trump atamuona adui. Papa si wa kwanza
 
Hapa watapita kimya kimya pia. Hawajui wakae upande upi
Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhegebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize papa ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
 
Acha kurukaruka,
Tupe maoni yako juu ya kauli ya Papa na Trump.
Tukiwaeleza kuwa USA na Israel mnayoshabikia hawafahamu kabisa huo Ukristo mnatuona hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…