Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

Nimekupa uhalisia unaanza kusema tunatukana

Mimi na matusi wapi na wapi
 
hakuna aliyetangaziwa fatwa na kuiliwa au kuchomwa kisu kwa kutoa maoni yake, yote heri tu ni demokrasia.
Acha propaganda za kitoto, huyo Trump alihamasisha insurrection watu wavamie capitol hill na actually polisi kibao waliuwawa. How is it different from hizo fatwa unazotaja hapa?
 
Kuna watu ukiangalia koment zao mpaka unawaonea huruma sawa unagundua wanachuki dhidi ya uislam na waislam ila ukiwaangalia kiundani unagundua hata akili wanaweza wakawa hawana sawa sawa
Ugaidi maana yake nini hili huwezi kulijibu
kama kuna taifa duniani linalea madikteta basi marekani kama sio namba moja basi ni moja plus
Ila akili zenu hazina akili
 
Ila Trump, sijui kwanini alipewa u prezo wa USA, mbona hastahili kuwa hata governor wa jimbo lolote hapo. Lol
 
Kiukwel namkubali mzee Trump huyu kitu unafki hanaga anamchana yeyote nahali nadeni ukimgusa hakuachi ila uzuri waukristo hakuna kutangaziana fatwa hapa ungeskia takbiiiir
 
Ila Trump, sijui kwanini alipewa u prezo wa USA, mbona hastahili kuwa hata governor wa jimbo lolote hapo. Lol
Wamarekan wenyewe wanamkunal mno ila sasa wahamiaji na sie huku kibiti ndo et tunasema chiz
 
Msengerema mmoja kutoka makunduchi wewe.
 
KHAMENEI KATIKA HALI MBILI TOFAUTI.

😁Before attack 🇮🇱
Kabla ya shambulio.

"Sunnis are kuffar arabs are Israelis and nothing to do with prophet, they are children of Umar la'nat"

"Masunni ni makafiri, Waarabu ni Waisraeli na hawana uhusiano na Mtume, wao ni watoto wa Umar laana"

😁After attack 🇮🇱
Baada ya shambulio
"We don't cürse Sahaba cürse is Haram. No Sunni, no Shia we are one ummah. We have to unite"

"Hatutukani Maswahaba, laana ni haramu. Hakuna Sunni, hakuna Shia, sisi ni umma mmoja. Lazima tuungane"🤣🤣

.Kabla ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran/makundi yake viongozi wa Iran hutoa kauli kali za kimadhehebu dhidi ya Masunni na Waarabu.

. Baada ya Israel kuishambulia Iran au washirika wake, kauli hubadilika na kuwa za umoja, kusema "tusiwatukane Maswahaba" na "tuungane kama Waislamu".

Zinduka ewe Muislamu.
wito wa "umoja wa Kiislamu" hutumiwa kama mkakati wa kisiasa wakati Iran inapokuwa hatarini, lakini hutoweka wakati hali ni shwari.
 
Ungekuwa unaeleza hizo quotations alisema lini na kwenye hotuba ipi,na tunaweza kuipata wapi
 
The godfather
 
Mtasema tu 😄😄

Hizo dini zote ni mchongo na wanasiasa wote wakubwa Duniani wanalijua Hilo ila wanavunga kwasababu via dini ni rahisi kuweza ku- control watu so nawao Kuna wakati wanatumia hiyo fursa as strategy plan yakutimiza malengo Yao kama alivyo kuwa anafanya samuya Kuwatumia waislam wa bakwata kwaajili ya kuwanyamanzisha RC kina kitima
 
Hivi trump term yake Ile ya kwanza nayo alikuwa kichaa hivihivi? maana sikuwa mfuatiliaji wa haya mambo
Alikuwa kichaa ndio but nafuu ilikuwepo angalau , Kina Obama wakamfanyia figisu ashindwe kwenye uchaguzi uliofuata,
 
Ungekuwa unaeleza hizo quotations alisema lini na kwenye hotuba ipi,na tunaweza kuipata wapi
Nikiweka quotations mnaishiaga kutukana tu,

Kuna muda inakubidi uchakarishe akili

Halafu swala la mashia na masunni kuitana makafiri ,nguruwe ,n.k Hadi kuchinjana wala halihitaji quotations linajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…