Trump sijui atatoboa, Kura za Maoni zinamkataa

Trump sijui atatoboa, Kura za Maoni zinamkataa

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1000100819.jpg
1000100821.jpg
1000100820.jpg

Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu

Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.

Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
 
Uko sahihi ila kwa siasa za wenzetu ni tofauti,,,,lolote linaweza kutokea na kushangaza pia.
Wanasema, 'Haijaisha mpaka itakapoisha'.
 
Uko sahihi ila kwa siasa za wenzetu ni tofauti,,,,lolote linaweza kutokea na kushangaza pia.
Wanasema, 'Haijaisha mpaka itakapoisha'.
Huyo kamara haris anapata umaarufu TU kama WA secretary Clinton!lakini anaweza shinda popular votes akashindwa house of representatives votes!

Hapo ndipo.mtego ulipo hapo!!Kura za masenetor ndio huwa zinamweka Raid madarakani!
 
View attachment 3089590View attachment 3089592View attachment 3089591

Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu

Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.

Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
Japo Kamala Harris Hana ushawishi mkubwa sana Kama Donald Trump, lakini ni vyema Sana kwa Wananchi wa Marekani wamchague Mama huyu kuwa Rais wao, Trump atawatia misukosuko sana endapo kama watamchagua tena kuwa Rais wao.
 
Watatumia kura za house of representatives kumshindisha Trump hata kama Harris akishinda popular votes!
Hivi unaelewa kweli namna Mfumo wa Uchaguzi wa Rais wa nchi ya Marekani ulivyo?
Upigaji Kura kwa Uchaguzi wa Rais wa Marekani upo kwenye Vipengele viwili, navyo ni'-
1. Popular Votes.
2. College Votes.

Ushindi wa Rais katika Uchaguzi wa Marekani hutegemea zaidi kwenye College Votes. Wala siyo Popular Votes.
 
View attachment 3089590View attachment 3089592View attachment 3089591

Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu

Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.

Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
Pamoja na kwamba namuunga mkono Harris ila uchaguzi wa Marekani hauamuliwi na kura za maoni tena mbaya zaidi wanakaribiana sana na mda Bado sana.

Napenda Haris ashinde,kule Haris huku Samia patamu hapo
 
Hapana Trump!

Inategemea wenye nchi wanataka nani awe Rais!

Kumbuka hasta secretary Clinton alishinda dhidi ya Trump kwenye popular votes lakini Trump akapewa coz alishinda kwenye kura za house of representatives!
Hapa ndipo mnajichanganyaga,hizo kura za maoni ni kwenye majimbo Makuu ya uamuzi wanaita swing states ambako Harris anaongoza.

Hata hivyo inaweza kuwa ni mbinu za vyombo vya habari ambavyo vinamuunga mkono Harris ikawa kinyume kwenye uchaguzi
 
Hapana Trump!

Inategemea wenye nchi wanataka nani awe Rais!

Kumbuka hasta secretary Clinton alishinda dhidi ya Trump kwenye popular votes lakini Trump akapewa coz alishinda kwenye kura za house of representatives!
Trump anashinda mapema tu, hiyo nchi INA mfumo Dume kwenye nafasi ya Uraisi
 
Back
Top Bottom