Hahaha unaongea kutoka Njombe๐Unajichosha vita imeshaisha yaliyobaki ni mapambio.
Huyu jamaa mbea sana ๐คฃWanaukumbi.
Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. ๐
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
๐๐๐๐ Wamemchokoza Bea
๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ท Makombora Mengi ya Iran Yanaonekana Kuishambulia Israeli Wakati Huu - MintPress NewsHuyu jamaa mbea sana ๐คฃ
๐๐๐๐ Wamemchokoza Bea