Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

🇮🇷⚡️🇮🇱 Makombora ya Iran leo yamepiga Bandari ya Haifa nchini Israel, ambayo inamilikiwa na mfanyabiashara Mhindi Adani—pigo kubwa kwa uwekezaji wa Israel na India, kwa kuwa ilikuwa bandari kubwa.

Iran inaonekana kulipiza kisasi kwa usaliti wa India kwa meli ya wanamaji wa Iran.


View: https://x.com/zardsi/status/2030784503556304992?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Samuya aliuwa Watanganyika ukashangilia
Leo Trump anawashika Kalio kobazi wa Iran unaanza kutoa ushuzi
 
Unadhani Iran wanapigana kwa kufuata akili zenu? Vita ni mbinu Iran sasa hivi wanarusha drone kuchosha mifumo ya ulinzi wa Marekani na Israel unajua gharama ya kuzui drone moja?
Kama ana mbinu nzuri mbona viongozi wake wanauawa kila siku? Kwaio unakubali mwanzoni alikua anarusha tu makombora bila kuwa na mbinu?
 
😂Mfalme wa Bahrain "Hamad bin Isa Al Khalifa" AMEIKIMBIA NCHI.
Watu wameupindua utawala vibaraka wa Marekani na Israel nchini Bahrain.

TRUMP ANAPOTEZA VITA HII
 
Hawa kobazi wa Tanganyika bhn
Samuya aliuwa Watanganyika wakashangilia Leo Babu Trump anauwa magaidi ya ya Iran wamenuna.
Kobazi ni jamii ya ovyo kuishi nayo
Saana mkuu, mimi wananikera sehemu kadhaa

1. Wanaamini Wakristo ni kama waliopotoka kabisa, so wengi wao wanakuwa wananyanyapaa watu wasio wa dini yao, HUWEZI kumuona Mkristo, akamnyanyapaa au kumfkiria kidini Muislamu au mtu mwingine yeyote yule.

2. Mkiwa sehemu kama kazini, sehemu za kijamii n.k wanatamani kujitenga na kitambulika kuwa wao wapo hapo.

Wanatumia nguvu nyingi saaana kuukuza Uislamu. Pia wanaamini ni thawabu kubwa saana kwa mwanamke wa Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu.
 
Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
Siku tatu za mwanzo ilikuwa ni kuudhofisha mfumo wa ulinzi wa Israel,ilibidi waushushie mzigo mkubwa ili uko collaspe,na kweli walifanikiwa,now wanajipigia tu mdogo mdogo
 
Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
Vipi ukiambiwa kuwa mwanzo lengo lilikuwa ni kudhoofisha mifumo ya ulinzi wa anga.
Vipi ukiambiwa kwamba sasa hivi Iran anarusha makombora machache kwasababu mifumo ya anga imeshakuwa dhaifu.
Utakubali?
Au utahitaji jibu lingine lenye kukufurahisha?
 
Siku tatu za mwanzo ilikuwa ni kuudhofisha mfumo wa ulinzi wa Israel,ilibidi waushushie mzigo mkubwa ili uko collaspe,na kweli walifanikiwa,now wanajipigia tu mdogo mdogo
Iran alicho fanya kwanza kumaliza Radar zilizopo Gulf states na Jordan hizo zilikuwa kwa ajili ya kuilinda Israel. Afu akaanza kuwapa dozi za kutumia old stock za Missiles kuzi bleeding Air defense Missiles.

UAE alivyo mjinga akaingia kushambulia Iran baada kuwa pressure na Netanyahu wamenda kupiga desalination plant kule Iran sa Iran kamwambia kule Burj Khalifa iwe evacuated sababu ataipiga katika haya masaa 24 au 48 yajayo.

Iran pia imewambia wa Israel wanao ishi kwenye zile Jewish settler waondoke katika masaa 24 kuanzia leo hakuna utani wasije kuzikwa na majumba yao. Iran alitumia ile strategy ya ku force jeshi la Israel kutumia expensive interceptor missiles kwenye lower value target hio tactic ina julikana kama bleeding au exhaustion
 
Mishoga haina nafasi sasa hivi,leo hakulaliki,vimondo vinaanguka tu
 

Attachments

  • 🇯🇵 عندما تصل إلى هذه السرعة، لا يعد الأمر مجرد حركة على الأرض، بل يصبح تقدماً بسرعة ا.mp4
    2.7 MB
Back
Top Bottom