AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kulia kupokezana unalia kidogo na mwenzio analia sasa unataka ulie wewe tu peke yako ndio nini?Maisha ya Mashaka kujitia makuu kumbe weupe tu
Kulia kupokezana unalia kidogo na mwenzio analia sasa unataka ulie wewe tu peke yako ndio nini?Maisha ya Mashaka kujitia makuu kumbe weupe tu
Ulitaka wafanye km Venezuela wangeweza?Japo siwakubali Magaidi, ila Trump na wayahudi kumuua Ayatolah namna ile sio, kumenisikitisha sana.
Yaan unamaanisha tapeli si ndio?Huyo ndo master of manipulation...afu anajiamini kwa anachokiongea😅, hata kama ni pumba
Mnamchukuliaje Myahudi na CIA mkuu? CIA na MOSSAD ni wa kawaida?Vita vya Middle East huwa haviishi kirahisi hivyo. Jihadists sio watu wa kawaida!
Hakuna kipya; there has been bad blood in the Middle East (ingawa CIA na MOSSAD wamekuwepo) tangu kabla wewe na mimi hatujazaliwa!Mnamchukuliaje Myahudi na CIA mkuu? CIA na MOSSAD ni wa kawaida?
Iran hana silaha ya kurusha kufika America.Nimekuuliza wewe ujibu badala ya mkuu wa majeshi wa Iran.
Yeye anamtishia kumuua Trump akikanyaga mashariki ya kati.
Nini kinamzuia asimuue huko aliko?
Maana Trump na Benjamin wao wamesema wao wataua mrithi yeyote wa khameni bila kujali yupo wapi. Popote panafikika.