msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,796
- 9,165
Wanaukumbi.
Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?