Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

Yaan mpaka camera wanaziona kama zinawasaliti
 

Attachments

  • Israel wanang_oa CCTV Camera mitaani __Inaaminika kwamba teknolojia hivi sasa imekua kubwa kia...mp4
    2.6 MB
Nimemuona echolimai kambebea Boss wake Bag. kubwa mgongoni.


Maisha ya Mashaka kujitia makuu kumbe weupe tu

Marekani mwenyewe yupo taaban Kijesh mwenye kuwalinda wana wamashoga!!!!

. Walokole nina swali Jehova wenu yupo wp mbona kawaacha njiani. Aibu naona mm!!
 
Yaan mpaka camera wanaziona kama zinawasaliti
Lengo lao tusijue kipigo wanachopewa,

na wale Walokole ndio ivyo kujiongezea hawataki wanakwambia Israel hawapigiki kivyovyote vile!!

Wamepiga Waarabu wote kwa siku 6😀😀😀😑
 
Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
Mambo ya Vita ww uyajui kupiga mwanzo Target nyingi inatokana na taarifa za Kijasusi!!

lazima mpige kwa wkt Maghala ya Silaha viwanja va Ndege Vita na ndege zikiwa uwanjani!!

mawasiliano ya aina mbalimbali so lazima utumie nguvu kubwa sana.!!
 
🚨 🇮🇷🇺🇸 BREAKING

Mkuu wa Jeshi la Iran: "Iwapo Trump ataingia Mashariki ya Kati, atakuwa shabaha ya moja kwa moja kwa vikosi vyetu."
Msako umeanza rasmi.
hao jamaa ni wazee mipasho kama wakina bi hadija. netanyahu tu yupo hapo wamemshindwa ndo ije kua trump?
 
🇺🇸🇮🇷 NY Times sasa inaripoti kwamba maafisa wa Marekani wameshangazwa na majibu ya kijeshi ya Iran

Hawakutarajia kuwa ni pana na kudumu kwa muda mrefu

Wengi waliwaonya, lakini hawakusikiliza.

Walifikiri itakuwa kama huko Venezuela

Hakuna ufahamu wa viongozi hawa ni akina nani, lakini inashangaza kuwaona wakiwa wajinga sana

Chanzo: NY Times
 
Trump kachanganyikiwa kitambo tu. Ni hadhi yake tu ndio bado inambeba. Alitakiwa kuwa hospitali mpaka muda huu na sio whitehouse.
 
Back
Top Bottom