Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

iran wameharibu mifumo ya ulinzi ya Israel sasa hivi Hezbollah anasukuma vitu kama vyote 😅

Marekani waliwambia Hezbollah wasiingie kwenye vita watapata ofa😅

Israel kawekwa mtu kati.
 
Uzi wa kujipa moyo ukiwa unasubiri mida ya futari😄
 
Mzee wa mawigi laiti angekuwa ni mdogo kwangu ningemkata makofi ila ndio hivyo ana zali kanizidi umri
Nalog off Z
 
BREAKING:

🇮🇷🇴🇲 Iran imeshambulia meli nyingine 2 asubuhi ya leo ikijaribu kupita Hormuz

UKMTO inaripoti kuwa meli mbili zimeshambuliwa kwa makombora umbali wa dakika.

Meli moja, maili 11 kutoka pwani ya Oman kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz, imepigwa, na wafanyakazi wanahamishwa.

Meli ya pili iligongwa maili 50 kaskazini magharibi mwa Dubai, Falme za Kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…