Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #101
So fanya hiviKikawaida maisha ya uswahilini huwa wanapata furaha kubwa moyoni wanapoona unaishi Kama Selemani wa Mbosso khan, au Toto Idd wa Juma Nature
So unachofanya wewe kuwa na nidhamu na kudili na mambo yako lazima uibue mgogoro wa nafsi
Na wakikukosa katika rada zao watakutegea Mwanamke na hapo ndo itakuwa mwisho wako wa the rise and fall of Portuguese
So fanya hivi
Pray pray pray
Usitembee na KE kutoka the same street
Usiwe na mazoea na watoto wao wadogo
Pray pray pray
Usitembee na KE kutoka the same street
Usiwe na mazoea na watoto wao wadogo