Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.

Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.

Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
 
Tanzania kuanzia January hadi Desemba tunajadili madaraka na vyeo.

Maendeleo yanajadiliwa kipindi cha Bunge
 
Kwanza wamebebwa sana.
Walipaswa kupigwa chini kitambo sana.
Majaliwa sijui anafanya nini pale.
Akina Mwigulu walipaswa pia kuchinjiwa baharini kitambo
 
Tanzania kuanzia January hadi Desemba tunajadili madaraka na vyeo.

Maendeleo yanajadiliwa kipindi cha Bunge
Bunge lipi hilo ?, hili hili linalotokana na uchafuzi wa mwaka 2020 ?
 
Back
Top Bottom