comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
JPM hakuwaondoa waliowekwa na watangulizi wake?Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.
Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?