Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

Kila zama na wakati wake, wakwende huko wauwaji hao
This is very bad ..
Unaona ulivyoongea kwa chuki.

Kuishi kwa kukomiana namna hii then what..
Ok! Baada ya Samia then ajae naye aje apite na wateule wote wa Samia.

Huu ni upuuzi kabisa. Nchi sio geto lako kwamba utabadili sitting vile utakavyo..
Ujinga huu uishe. TUNAHITAJI KATIBA MPYA..
 
...
Majaliwa sijui anafanya nini pale.
Akina Mwigulu walipaswa pia kuchinjiwa baharini kitambo
Kama hujui ya ndani ya nyumba unaweza kuongea kika unaloliona sahihi kumbe upo wrong.

Mmoja kati ya hao uelewi lolote na afadhali uendelee kutokujua ili baadaye utolewe tongotongo upate elimu.
 
Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.

Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.

Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
Nagwanda sijaona bado Ila yule mpaka uvunje mjengo ule
 
Lazima uwe makini na unachoandika.

Hata huyo unayemsujuda aliwekwa, aliombwa na huyo huyo unayemdhihaki.

Kwa kweli, itabakia Kura tu 2025 Kumwondoa yeyote aliyobaki.

Omba na Utapewa.

We tabiri tabiri tu.

Mdomo, Ulimi, Mawazo huwa yanakuwa.
 
Watu wamerudi kwenye vyama vyao!

Watarudi.

Nchi haikuwa ya Hayati Magufuli

Nchi siyo ya Raisi

Serikali huwa zinaingia na kutoka.

Ni jumuisho la Wananchi, la wapiga kura....na sio la wawekezaji au la watoa Mikopo.

2025 kwa nguvu ya Mwananchi, tutapiga kura kutaka Serikali yenye kujumuisha Wananchi.

Serikali ya Jamhuri.
 
Tanzania serikali ni moja tangu 1961/1964. Haya maneno ya awamu ni sarakasi tu.
Kama tutaendelea kutawaliwa na CCM tutaraji yale tuliyoyazowea. Na sioni dalili za hali hii kubadilika. Kinachoitwa uchaguzi ni kiinimacho cha kupumbazana tu.
 
kwa hali hii nadhani hata mkutano uliofanyika jana pale ikulu ukiwa na sera za umoja, Amani na Upendo kwa vyama pinzani ni zugazuga tu lkn wanafahamu walioyapanga tangu awali!
 
Kwa vipi?
Unauliza swali kana kwamba huoni kinachoendelea au unahitaji ligi ya mongezi!?

Jaribu kukagua safu zote mpya anazopanga sir100 utaona madudu anayofanya kwa vile ni wa maushungi anateuwa vikofia wenzake...Hili linashiria nini kama sio udini?
 
Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.

Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.

Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
Put your enemy closer.
usiwaweke mbali kiasi kwamba usijue wanachofanya.
 
kwa hali hii nadhani hata mkutano uliofanyika jana pale ikulu ukiwa na sera za umoja, Amani na Upendo kwa vyama pinzani ni zugazuga tu lkn wanafahamu walioyapanga tangu awali!
Uko sahihi. Zanzibar na Miafaka yao bado kiuhalisia hakuna mabadiliko ya maana. Kila baada ya miaka mitano wanaingia kwenye mode ya vita. Hapo vikosi vya SMZ vinafanya kazi yao waliyopangiwa.
 
Huu ni upumbavu . Na ndio maana kunakuwa na visasi na visirani.
Watumishi wanakuwa na insecurity huko maofisini coz wanajua nafasi zao si za kudumu.

Hii inapelekea wateule wengi kuchukua chao mapema . Public fund embezzlement..

Hii yote ni kutokana na katiba yetu mbovuu.. inayotupatia viongozi wa hovyo wasiojiamini.
Ulitakaje ?
 
Chama dola mwaka huu 2023 kimehitimisha na kupeleka ujumbe kwa vyombo vya dola kuhusu 4R za maridhiano

Toka maktaba

04 November 2020
Dodoma, Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya eneo la atakakoapishwa kRais Mteule wa Tanzania Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Commisioner of Police Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

08 Julai 2022
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini jana Julai 8, 2022 wamemtembelea Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es salaam.
IMG_20220709_144633-1024x507.jpg



PICHA ZAIDI :

View attachment 2468306
From top left Clockwise: H.E President John Pombe Joseph Magufuli, Commissioner of Police Diwani Athumani director General Tanzania Intelligence Security Services , Inspector General of Police Simon Sirro and General Venance Mabeyo chief of Defence Forces.

04 January 2023

Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has lifted a six-year ban on political rallies imposed by her hard-line predecessor, John Magufuli.

Her decision is part of her 4Rs initiative - Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding.

She acknowledged parties had the right to hold rallies but she urged them to be "civil" and not to "trade insults"

Mr Magufuli had banned rallies in between elections in what was seen as an attempt to weaken the opposition.He dismissed rallies as a waste of time and money, and said they detracted from the key challenge of building the economy.

Mrs Samia announced the reversal of his policy at a meeting with opposition politicians.

"Our duty as a government will be offering protection for the rallies," she said.

The chairman of the main opposition Chadema party, Freeman Mbowe, said he welcomed the announcement.
"The move is first of all a return to a right guaranteed in the constitution and our laws," he added.

Mr Mbowe spent seven months in prison, before the prosecution dropped charges of terrorism against him in March 2022.
His arrest had raised doubts about Mrs Samia's commitment to reforms after she became president following Mr Magufuli's death in 2021.

Another opposition politician, Zito Kabwe, told AFP news agency that the president's decision to lift the ban was a "big move".
"This is the right that was snatched by the state through an illegal presidential decree," he added.
Source : BBC News
 
Back
Top Bottom