IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Viashiria vya udini taratibu vinachipukia!!🧐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona udini ulikuwepo. Umesahau kipindi cha magu kulikua na waislam wa tatu kwenye baraza la mawaziri?!Viashiria vya udini taratibu vinachipukia!![emoji3166]
Na hapa tukiuliza tutegemee jibu gani?Tulipo uliza tukajibiwa mnasoma madrasa bila elimu dunia.
Ushungi na uzanzibariNa hapa tukiuliza tutegemee jibu gani?
Sioni maana Majaliwa ni mwanamtandao timu Kikwete labda alikuwa muoga sana kukinzana na Magufuli.Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.
Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
SawasawaMbona na yeye aliondoa wa Kikwete? Kila kiongozi akija anaunda safu yake...Acheni kumnanga maza hata wewe ukiingia ikulu utapangua safu na kuweka nyingine.
Mwalimu Nyerere alikuwa Waziri Mkuu kisha akamuachia Mzee Kawawa. Mzee Kawawa alishikilia wadhifa huo kisha akamwachia tena Mwalimu na Mwalimu akawa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika 1962, Muungano hadi mwaka 1985. Mzee Msuya, aliwahi kuwa Waziri Mkuu akabadlishwa mara waziri mara kule. Haikuwa ajabu. Wazee wetu walijua cheo ni dhamana. Leo kiongozi akiteuliwa tunasema ' KAULA' akiondolewa tunahoji kashushwa, kapanda au sijui ni mtu wa fulani! #Guys, cheo ni dhamanana. Viongozi wetu wanaoteuliwa ni watiifu na waadilifu tusiwachonganishe.🙏🙏🙏Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.
Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
Na hapa tukiuliza tutegemee jibu gani?
Huko bungeni kwenye kubinuka sarakasi?Tanzania kuanzia January hadi Desemba tunajadili madaraka na vyeo.
Maendeleo yanajadiliwa kipindi cha Bunge
kaletwa hapo awe monitoredChief of staff (katibu wa Ikulu) ni nafasi nyeti sana and very senior kwenye serikali yeyote duniani.
Nchi nyingine ni mkubwa kushinda katibu mkuu kiongozi ambae ni head of civil services (which includes idara za usalama).
Yes ndo tunajifaragua kujadili maendeleo.Huko bungeni kwenye kubinuka sarakasi?
😅 dah"Mh Spika naomba uniruhusu nibinuke sarakasi"
Huu ni upumbavu . Na ndio maana kunakuwa na visasi na visirani.Mbona na yeye aliondoa wa Kikwete? Kila kiongozi akija anaunda safu yake...Acheni kumnanga maza hata wewe ukiingia ikulu utapangua safu na kuweka nyingine.
Huu ni upumbavu . Na ndio maana kunakuwa na visasi na visirani.Ukihamia nyumba mpya lazima uifanyie fumigation
Kati ya mambo yanayo ligharimu bara la Afrika ni kuto kuaminiana na kupenda kutengeneza makundi badala ya kujenga vision ya Nchi. Tuna hitaji Rehema za Mungu.Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.
Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?