Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

JPM hakuwaondoa waliowekwa na watangulizi wake?
 
Huwezi kurekebisha kwa kufanya makosa.
Yes tuliingia uchumi huria lakini akaanza kumega nchi na kuuza.
Unalijua Loliondo saga?
Mpuuzi aliuza kipande cha ardhi.

Jk ameuza gas
Amekula nchi kupitia richmond na mambo mengi meusi.
Wajinga kama wewe kuaminishwa ujinga na wewe ukaamini lile jinga mwenzeni mnayetamani kuliabudu lilitoka kuanzisha madili yake likaona lizue uongo na mlivyokosa akili mkaamini.
Kama imeuzwa mbona hadi leo hao walionunua hawajafanya chochote kuendeleza mradi wao.
 
We faller wa karne na umejaa ushamba.
Loliondo walikouziwa wajomba zenu waarabu ukikosea njia ukapita kwenye eneo lao unatekwa na kupelekwa ndani kuteswa au kuuawa.
Hujui lolote ewe gaidi mshambamshamba
 
Tanzania kuanzia January hadi Desemba tunajadili madaraka na vyeo.

Maendeleo yanajadiliwa kipindi cha Bunge
Mbaya zaidi na huko bungeni huwa hawajadili mambo ya maendeleo ila sisi wa keyboard ndo tunajadili.
 
Unauliza swali kana kwamba huoni kinachoendelea au unahitaji ligi ya mongezi!?

Jaribu kukagua safu zote mpya anazopanga sir100 utaona madudu anayofanya kwa vile ni wa maushungi anateuwa vikofia wenzake...Hili linashiria nini kama sio udini?
Nisamehe. Sihitaji wala siwezi ligi.
 
We kyma ufisadi sio wizi?
Acheni uongozi legelege ona wauza madawa wamerudi mjini upya
Nawe uza basi,kuwa makini usije kujinyonga bure maana 2030 mbali sana unaweza kuishi kwa manung'uniko kweli. Halafu akimaliza tuna mpango wa kumuweka Muislam mwingine.
 
Kwa hiyo unashauri hizo nafasi ziwe za kifalme mpaka kifo. Nchi yenyewe kila rais anakuja na dili lake na chawa wake
 
Mwigulu hatakiwi nafasi yoyote. Zaidi ya Mhasibu wa kkkt. Yuko hapo akipalilia vyeo na kuotea urais ambao hataupata Abadan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…