Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Siyo Bombardier kweli😀Watuvumilie, zimeingizwa kwenye standard geji
Ukute BOT walishampa Magu hela za kugawa barabarani huku wakimdanganya ni makusanyo ya Ushuru wa forodha bandarini😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Bombardier kweli😀Watuvumilie, zimeingizwa kwenye standard geji
Kuna watu watatolewa kafara 😁😁😁Siyo Bombardier kweli😀
Ukute BOT walishampa Magu hela za kugawa barabarani huku wakimdanganya ni makusanyo ya Ushuru wa forodha bandarini😀
Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao.
Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao
Watazitapika maninx😂 wanashabikia makusanyo kumbe wamemixi na hela za muwekezaji katika hesabu hizoZishatafunwa hizo na majizi na mafisadi sasa wanahaha watazipata wapi. Zitawatokea katika tundu lolote kwenye miili yao 😂😂😂
Huo ndiyo ujinga sasa yeye hataki pesa ije lakini anataka maendeleoTatizo kuna mtu anataka kutawala zaidi, na anaogopa hizi pesa zinatumwa kwa wapinzani 🤣🤣
Tayari wafanyabiashara wengi wakubwa hawaweki pesa zao Tanzania bali huficha Nchi Jirani hususani kenya Uganda Zambia ambapo hakuna kuporwa pesa kienyeji kwa njia haramu za kishetani kama BOTIvi uhuru huu waniuchotabpesa kwenye account za watu umetoka wapi
Maana kuna hakinza usiri kwenye maswala ya fedha
Matokeo ya wawekezaji kutukimbia ni tena kwa uchumi wa nchi naona huu uelekeo sio mzuri kabisa
Wewe ndiyo utopolo hujui kuwa BOT inazuia pesa yeyote hata kama ipo bank ya vichochoroni, wewe ni utopolo koko hujitambui umekariri utopolo mpaka umegeuka kuwa utopolo mwenyeweBOT haipokei pesa za wafanyabiashara full stop!! Neno la Utopolo siyo la Manara bali lilianzishwa na mshabiki wa Yangu. Acha kuwa na akili za utopolo mkuu!
Tanzania ipi unaisemea? Maana Tanzania ya sasa pesa tokea nje hazipo salamaWewe hamisha
Wewe hamisha tu. Sisi tunawekeza , wala hujui chochote kuhusu Tanzania.
Huzuia pesa za watu na kipindi unapigwa danadana wao hufanya biashara kwa kuzungusha mpaka zizae faida kubwa kwanzaKuna watu watatolewa kafara 😁😁😁
Kenya haipigi vita Tanzania bali hutumia fursa kwenye udhaifu wa Serikali yako kujinufaisha kwa haraka, wewe nyanyasa wafanyabiashara kupitia BOT na TRA wao wanawabembeleza wafanyabiashara hakuna uonevu Bank kuu ya kenya ukitumiwa pesa zako wanakupa haijalishi zimetoka wapiKenya sio watu wazuri na kuna uzi nilishatoa kuwa kenya inatupiga vita ikisaidiwa na upinzani fulani
Kenya haipigi vita Tanzania bali hutumia fursa kwenye udhaifu wa Serikali yako kujinufaisha kwa haraka, wewe nyanyasa wafanyabiashara kupitia BOT na TRA wao wanawabembeleza wafanyabiashara hakuna uonevu Bank kuu ya kenya ukitumiwa pesa zako wanakupa haijalishi zimetoka wapi
Kuna wafanyabiashara wengi wameporwa pesa zao na ndizo hizo walijazia hapo kupika takwimu kuwa bank kuu inayo akiba ya kutosha kumbe ni pesa za watu siyo mali zaoWatazitapika maninx😂 wanashabikia makusanyo kumbe wamemixi na hela za muwekezaji katika hesabu hizo
Kenya inaruhusu pesa zote na inaizidi Tanzania kiuchumi licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kuzuia pesa kuja Tanzania ni ujinga ndiyo maana uchumi unadorola mno, pesa za kigeni zikija nyingi wenye hizo pesa hujenga Nchi huwekeza huongeza sekta za ajila na maendeleo mengiHata nilipo ishi sijaona.utumiwe pesa ijulikani imetoka wapi nimeanza kuamini hata zile tetesi kuwa wale mahalamia wakisomalia walikuwa mgao wanapata kenya
Na mimi nina jamaa wakutoka Nizhi novgorod walibadili mawazo ya kuja kuwekeza kwenye solar energyHata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.
Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
Watu wengi sasa wameanza tabia ya kutoweka pesa bank baada ya kuona TRA hufunga Account zao kienyeji kuwabambikia kodi kubwa kwa njia haramu za kishetani kuwakomoa kwa njia mbalimbali, magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara wakubwa na wa kati apate kusikia kero zao vilio vyaoIvi uhuru huu waniuchotabpesa kwenye account za watu umetoka wapi
Maana kuna hakinza usiri kwenye maswala ya fedha
Matokeo ya wawekezaji kutukimbia ni tena kwa uchumi wa nchi naona huu uelekeo sio mzuri kabisa
Bora wameacha kuja maana BOT ingewasumbua sana juu ya pesa zaoNa mimi nina jamaa wakutoka Nizhi novgorod walibadili mawazo ya kuja kuwekeza kwenye solar energy
Kuna watu mnaona serekali kama wakezenu mnavo waongoza.Kenya inaruhusu pesa zote na inaizidi Tanzania kiuchumi licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kuzuia pesa kuja Tanzania ni ujinga ndiyo maana uchumi unadorola mno, pesa za kigeni zikija nyingi wenye hizo pesa hujenga Nchi huwekeza huongeza sekta za ajila na maendeleo mengi