Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

Zishatafunwa hizo na majizi na mafisadi sasa wanahaha watazipata wapi. Zitawatokea katika tundu lolote kwenye miili yao 😂😂😂
Watazitapika maninx😂 wanashabikia makusanyo kumbe wamemixi na hela za muwekezaji katika hesabu hizo
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ivi uhuru huu waniuchotabpesa kwenye account za watu umetoka wapi
Maana kuna hakinza usiri kwenye maswala ya fedha

Matokeo ya wawekezaji kutukimbia ni tena kwa uchumi wa nchi naona huu uelekeo sio mzuri kabisa
 
Tayari wafanyabiashara wengi wakubwa hawaweki pesa zao Tanzania bali huficha Nchi Jirani hususani kenya Uganda Zambia ambapo hakuna kuporwa pesa kienyeji kwa njia haramu za kishetani kama BOT
 
BOT haipokei pesa za wafanyabiashara full stop!! Neno la Utopolo siyo la Manara bali lilianzishwa na mshabiki wa Yangu. Acha kuwa na akili za utopolo mkuu!
Wewe ndiyo utopolo hujui kuwa BOT inazuia pesa yeyote hata kama ipo bank ya vichochoroni, wewe ni utopolo koko hujitambui umekariri utopolo mpaka umegeuka kuwa utopolo mwenyewe
 
Wewe hamisha
Wewe hamisha tu. Sisi tunawekeza , wala hujui chochote kuhusu Tanzania.
Tanzania ipi unaisemea? Maana Tanzania ya sasa pesa tokea nje hazipo salama
 
Kenya sio watu wazuri na kuna uzi nilishatoa kuwa kenya inatupiga vita ikisaidiwa na upinzani fulani
Kenya haipigi vita Tanzania bali hutumia fursa kwenye udhaifu wa Serikali yako kujinufaisha kwa haraka, wewe nyanyasa wafanyabiashara kupitia BOT na TRA wao wanawabembeleza wafanyabiashara hakuna uonevu Bank kuu ya kenya ukitumiwa pesa zako wanakupa haijalishi zimetoka wapi
 
Hata nilipo ishi sijaona.utumiwe pesa ijulikani imetoka wapi nimeanza kuamini hata zile tetesi kuwa wale mahalamia wakisomalia walikuwa mgao wanapata kenya
 
Watazitapika maninx😂 wanashabikia makusanyo kumbe wamemixi na hela za muwekezaji katika hesabu hizo
Kuna wafanyabiashara wengi wameporwa pesa zao na ndizo hizo walijazia hapo kupika takwimu kuwa bank kuu inayo akiba ya kutosha kumbe ni pesa za watu siyo mali zao
 
Hata nilipo ishi sijaona.utumiwe pesa ijulikani imetoka wapi nimeanza kuamini hata zile tetesi kuwa wale mahalamia wakisomalia walikuwa mgao wanapata kenya
Kenya inaruhusu pesa zote na inaizidi Tanzania kiuchumi licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kuzuia pesa kuja Tanzania ni ujinga ndiyo maana uchumi unadorola mno, pesa za kigeni zikija nyingi wenye hizo pesa hujenga Nchi huwekeza huongeza sekta za ajila na maendeleo mengi
 
Hata mimi nilipata wawekezaji walikuwa interested kuwekeza Tz toka hapa Russia,ila waliambiwa na "intelijensia" yao waliopo huko Tz kwamba wasubiri kwanza,maana GoT ya awamu hii haileweki.

Kuna tatizo kubwa sana huko Tanzania.
Nafikiria pia kuhamisha biashara zangu ambazo zinahamishika toka huko Tz kwenda Comoro au Ushelisheli.
Na mimi nina jamaa wakutoka Nizhi novgorod walibadili mawazo ya kuja kuwekeza kwenye solar energy
 
Ivi uhuru huu waniuchotabpesa kwenye account za watu umetoka wapi
Maana kuna hakinza usiri kwenye maswala ya fedha

Matokeo ya wawekezaji kutukimbia ni tena kwa uchumi wa nchi naona huu uelekeo sio mzuri kabisa
Watu wengi sasa wameanza tabia ya kutoweka pesa bank baada ya kuona TRA hufunga Account zao kienyeji kuwabambikia kodi kubwa kwa njia haramu za kishetani kuwakomoa kwa njia mbalimbali, magufuli aitishe mkutano wa wafanyabiashara wakubwa na wa kati apate kusikia kero zao vilio vyao
 
Kenya inaruhusu pesa zote na inaizidi Tanzania kiuchumi licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kuzuia pesa kuja Tanzania ni ujinga ndiyo maana uchumi unadorola mno, pesa za kigeni zikija nyingi wenye hizo pesa hujenga Nchi huwekeza huongeza sekta za ajila na maendeleo mengi
Kuna watu mnaona serekali kama wakezenu mnavo waongoza.

Ushabiki na kejeli usiokuwa na maana utakuja kutughalimu,uwezi kuingiza pesa zisizo kuwa na taarifa na zinakuja kwa ajili ya nini
Mpaka sasa kenya pesa zilizopo tuseme al shabab pesa zao zipo kenya kwa kuwa si hakuna kuulizana na kujua.

Pesa isiyo kuwa na maelezo wa nini kama kufika nyumbani kwako kukuta wali kuku na soda kubwa wakati uliacha elfu mbili ya ugali na maharage.halafu unafurahi kuwa mkeo wife kipepeo
 
Mazingira ya uwekezaji Tanzania siyo rafiki na mifumo ya kibenk pia siyo rafiki kuna mapungufu mengi mno ni vigumu Nchi kudumu kwenye uchumi wa kati kwani wafanyabiashara wengi wanaweka pesa zao kenya Uganda Zambia kwenye usalama zaidi kuliko Tanzania ambapo BOT imekuwa kikwazo cha maendeleo
 
Back
Top Bottom