Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

Ni sahihi kabisa.

Kwenye masomo ya sales na marketing huwa wanafundisha saikolojia za binadamu katika kununua kitu.

Binadamu huwa anafanya maamuzi ya kununua kitu kwa emotions kuliko logic.

Hiyo tshirt inauzwa hiyo bei sababu ya hiyo nembo ya yanga tu. Watu wengi wana emotional attachment na timu ya yanga. Na sasa wamekuwa na emotions na gsm sababu anaonekana anaisaidia yanga. Hapo bosi kaivaa kwa ajili ya kuipromote ili wanayanga wainunue sana.

Hiyo tshirt Ukiitoa nembo ya yanga hapo isiwepo hata elfu 20 kuuza ni ngumu sana.
 
Hatari...!!
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Branding
 
Eti jamaa yako akaenda kununua. Kwanini usingeenda wewe kununua
 
GSM ni Gulamali aliyepooza. Yanga bwana mmewaimba sana watu wa namna hii, masponsa wanaowaweka mjini. Wakitokea watu kuwaelimisha mjitegemee mnawaona maadui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…